Habari zenu mimi Lukelo Sakafu nimefungua kitengo maalum cha kutoa ushauri nasaha kwa wote wenye matatizo na kuhitaji ushauri yakinifu.
Kama unataka ushauri wa kibiashara,mapenzi na ndoa,kazi / ajira,elimu tafadhari nitafute.
Napatikana mavuno house karibu na mnara wa askari posta Dar Es Salaam.
Mwenye maoni na mawazo yakinifu namkaribisha hapa.