Ninatfuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninatfuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by TXB, May 20, 2011.

 1. T

  TXB Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI WANA FORUM, MWENZENU NIMEHANGAIKA SANA KUTAFUTA KAZI HADI NIKAAMUA KWENDA TENA SHULE NA SASA NINA MASTERS IN ACCOUNTANTING AND FINANCE, HADI SASA NINAMUDA WA MIAKA MINNE (4) TOKA NIMALIZE UNDERGRADUATE MWAKA 1997, KWAHIYO NAWAOMBA TUSAIDIANE WANAFORUM KWANI MAISHA YAMEKUWA MAGUMU SANA, NINATUMIA NJIA ZOTEKAMA VILE MAGAZETI, NA MITANDAO PIA (WWW.NAOMBAKAZI.COM, WWW.KAZI999.COM N.K.) NIMEFANYA HAYO YOTE HADI SASA BILA MAFANIKIO, MWANAFORUM YEYOTE MFANYAKAZI KAMA KUNA NAFASI YA KAZI KWAO NAOMBA AWASILIANE NAMI KWA Email Address: benbnny9@gmail.com KWA NAFASI YA ACCOUNTANT, AUDITOR NA FINANCE POSITION. NAWATAKIA SIKU NJEMA MUNGU AWALINDE NA KUWABARIKI, NI MIMI MWANA FORUM MWENZENU KATIKA KUHANGAIKA KIMAISHA.
   
 2. B

  Baba Jose Senior Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du pole Chek kuna kazi zimetoka majuz national audit cjui kama deadline imepita anzia hapo
   
 3. MAENE

  MAENE Senior Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  pole sana, usife moyo hauko peke yako tuko wengi tu mtaaani na visomo vyetu, apply national audit office deadline bado mwisho 24may 2011.piga moyo konde kijana mwenzangu ipo siku utatoka na kusahau machungu yote.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kazzi tz bila refa ni shida sana
   
 5. m

  mbweta JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pole kaka najua ni shida kiasi gan unayo pata. Zikitangazwa kazi usiwe unaweka hzo masterz sehem nyngne hawapo interested na m2 aliye soma sana kwan ni gharama kumlipa. Mie nilienda kuna kaz ilitangazwa nikaambiwa cheti chako ndo mkuu wetu anayo nkabebeleza basi watumie cha six kuniajili wakanipiga danadana.
   
 6. m

  mbweta JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 600
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pole najua ni shida kiasi gan unayo pata. Zikitangazwa kazi usiwe unaweka hzo masterz sehem nyngne hawapo interested na m2 aliye soma sana kwan ni gharama kumlipa. Mie nilienda kuna kaz ilitangazwa nikaambiwa cheti chako ndo mkuu wetu anacho nkabebeleza basi watumie cha six kuniajili wakanipiga danadana.
   
 7. M

  MZOMOZI Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakushukuru kwani nimejifunza kitu ni pamoja na anuani zakutafutia kazi.Tuendelee kukoma nao.
   
Loading...