ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,713
- 57,226
Blaza we beba kontena lako weka kiwanjani,anza kuishi kama kuna mambo ya vibali itajulikana mbele ya safari.
Atumie neno project/mchakato?Usitumie neno idea unakosea wasomi.
Container ni million moja na kupanda juu, ila kama unaenda kuishi na familia sikushauri, ila kama peke yako kibachela sawa.Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Permit ya nini sasa mkuu,
Atumie neno gani wazo, hiyo ni idea yake kaamua kurahisisha mambo, na wasomi ndiyo wakina nani ndiyo wewe.Usitumie neno idea unakosea wasomi.
Bei ya container inachezea milion 4 mpaka 8, badokulitengeneza yani liwe kama zile nyumba za wazungu unarudi kule kule kwenye milion 30-40 maana lazima uweke vizuia joto, la sivyo kipindi cha joto ni jehanamu na kipindi cha baridi ni friji.Wakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unakua na kiwanja kabisa au ilo container unaliweka juu ya gari unakua mobile?
Blaza we beba kontena lako weka kiwanjani,anza kuishi kama kuna mambo ya vibali itajulikana mbele ya safari.
Kamanda fanya kweli, ilimradi tu upate gwiji fundi mtaalamu kwenye designWakuu naombeni Sana mnisaidie kiwanja tayari ninacho Sasa nimepiga hesabu ya kujenga nyumba sio chini ya million tano Na Mimi Nina million mbili hapa nataka ninunue container nili modify liwe nyumba nimeona wazungu wanaishi kwenye hizo nyumba nasikia changamoto yake kubwa Ni joto.mwenye uelewa juu ya hii ishu anipe ramani napataje container Bei gani yanauzwa Na vipi kuhusu Sheria inasemaje juu ya hizi nyumba za Aina yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Tanzania wanatengeneza kontena kama hizi au kuzifanyia kontena za kawaida kuwa ofisi au nyumba.Kamanda fanya kweli, ilimradi tu upate gwiji fundi mtaalamu kwenye designView attachment 1679027