Kwa bei ya Leo hisa moja 10,900 kwa hisa moja so una kama m 20 hivi hongeraIdadi ya hisa ni 2000 ila bei kwani napanga mimi au soko?
Ulikumbwa na kikwazo ama ulighairi?hapana sikufanikiwa
Safi.Nilipata solution ya hela sehemu tofauti, ila leo wameniingizia gawio langu pesa nzuri tu nashukuru.
Samahani mkuu naomba kuuliza,Nilipata solution ya hela sehemu tofauti, ila leo wameniingizia gawio langu pesa nzuri tu nashukuru.
Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu.
Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa kuchukua ili nikamilishe zoezi hili?
Kwanini iwe siri wakati taarifa ya gawio iko wazi mtandaoni? Dec 2020 TBL wametoa gawio la Tsh160 kwa hisa.gawio ni mara moja kwa mwaka ila kiasi Cha pesa ni sili yangu mkuu
Kwa bei ya Leo hisa moja 10,900 kwa hisa moja so una kama m 20 hivi hongera
Nina zangu za voda nilianza mchakato wa kuziuza 2018 mpk leo holaaa.Kama hisa zinauzika siku 3-5, kama hisa haziuziki, basi waswahili husema Subira yavuta heri, hata miezi 3,6 uvumilie...
Everyday is Saturday...............................
Zidisha mara 2000 sasa utapata jibuKwanini iwe siri wakati taarifa ya gawio iko wazi mtandaoni? Dec 2020 TBL wametoa gawio la Tsh160 kwa hisa.
Ndo maana mtu mweusi kuendelea ni ngumu sana , imagine kitu kidogo Kama hiki anaona ni siri yake , huyu atakupa machimbo ya biashara china kweli ?Kwanini iwe siri wakati taarifa ya gawio iko wazi mtandaoni? Dec 2020 TBL wametoa gawio la Tsh160 kwa hisa.
Naomba tuwasiliane kaka.. Ninamfahamu mtu atakaye nunua... 0765 670729Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu.
Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa kuchukua ili nikamilishe zoezi hili?