Ninatafuta shule nzuri ya msingi (English Medium)

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,601
Ninataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.

Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.

Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.

Ninatanguliza shukurani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa shule unaupimaje?

Hope hadi wanangu wanakuja kuanza kusoma hawatasoma huu mfumo mbovu na wa hovyo wa elimu.
 
Nakushauri jaribu kutoka hapo katikati ya jiji sio pazuri kwa malezi kuanzia nyumbani, njiani akiwa anaenda Shule na hata wanafunzi atakaokutana nao Shule sababu wote watakuwa na athari za maisha ya mjini DSM.

N vema ujikaze ukubali wewe uteseke ili ulee mwanao vizuri fanya hivi nenda kapange nje ya mji huko angalia unapofanyia Kaz iwe n gar moja au mbili kufika ambako sio inshu.

Binafsi ningeenda bunju, mapinga au kibaha huku utapata Shule ambayo n serious kielimu na malezi pia changamoto za kimlea mtoto n chache kwenye jamii, siku ukiamua kupumzika n kweli utafurahia kuwa na familia tofauti na kuish sinza au Magomeni.

Kukaa nje ya mji kunakupa network mpya ya maisha Kama n kijana utakuna na wazee utavuna busara zao, Kama we n mzee basi utakutana na wazee wenzako utajitafakari vyema kuhusu uzee wako.

Kuna Shule pale kwa kakobe naskia huwa n ya masista jaribu kwenda hapo.
 
Mimi natafuta she nzuri ya English Medium iliyoko Maeneo ya Kimara. msaada
 
Ninataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.

Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.

Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.

Ninatanguliza shukurani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabillah Taufiq
 
Mary Mother of the Savour hiyo shule ipo hapo kanisa Katoliki
 
Kwa maeneo uliyoyataka sio rahisi kupata shule nzuri.
Kwa Magomeni na Kinondoni labda utafute shule ya uhuni, ukabaji na utafunaji wa miraa, au shuleya kukata viuno
 
Ninataka nimwamishe mwanangu kutoka shule fulani hivi ninatamani kama kuna mdau anayeijua shule yeyote ya private/English Medium iliyo karibu na maeneo ya Sinza, Magomeni na Kinondoni.

Sitaki shule ya mbali sana coz kijana bado ni mdogo sana ninatamani safari isiwe ndefu from home to school.

Shule iwe na school bus!!
Ninaomba yeyote anayefahamu shule yeyote nzuri anitajie tu na kama nitapata contacts itapendeza zaidi.

Ninatanguliza shukurani.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mi nakushauri mpeleke mtoto primary shule za serikali za kawaida za kwenda na kurudi umnoe na twisheni kidogo na sio english medium. Unless otherwise uwe unawashwa pesa.

Yabidi hizo pesa za english medium ndo uzikusanye ili uje umsomeshe mtoto secondary nzr kama fedha boys/girls na nyinginezo nzr za private.
 
Precious Schools Goba La Stana Road
 
Na huku madale shule nzuri ya watoto ,mwenye recomendations tafadhali.
 
mkuu mi nakushauri mpeleke mtoto primary shule za serikali za kawaida za kwenda na kurudi umnoe na twisheni kidogo na sio english medium. Unless otherwise uwe unawashwa pesa.

Yabidi hizo pesa za english medium ndo uzikusanye ili uje umsomeshe mtoto secondary nzr kama fedha boys/girls na nyinginezo nzr za private.
Msingi wa elimu ni primary.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom