Ninatafuta mume

Ninatafuta mume

Tatizo lenu nikija pm hamjibu... Ila ngoja nije tu
 
Mi bikra we mwenzangu je? Kama yes bas niPm hela ipo, house tyr, nina PhD ila ya kishua (sio zile za 40yr+), shart virginity
 
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana
Karibu.
Umenipata mimi
 
mm nina miaka 37 nina upendo wa dhati ila sina kazi .....🙁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom