JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
(TaSUBa)
Simu: 0255 023 2440032
Fax: 0255 023 2440149
Barua pepe:taasisisanaa@gmail.com
Tuvuti:
www.tasuba.ac.tz
Unapojibu tafadhali taja:
Kumb. Na. HUM/TSUB/MF.5/VOL.III/251
S.L.P. 32,
BAGAMOYO
1. GHARAMA ZA MASOMO YA CHETI/STASHAHADA YA SANAA ZA MAONESHO NA SANAA ZA
UFUNDI KWA MWAKA WA MASOMO 2016/17
NA MAELEZO MALIPO KWA KIASI
1. Ada Taasisi 900,000.00
2. Malazi (Hostel mpya) Taasisi 340,000.00
3. Ada ya NACTE Taasisi 15,000.00
4. Usajili NACTE 20,000.00
5. Fedha ya tahadhari (Caution Money) Taasisi 20,000.00
7. Posho ya vitabu Mwanafunzi 200,000.00
8. Steshenari Mwanafunzi 100,000.00
9. Matibabu Mwanafunzi 100,000.00
10. Chakula Mwanafunzi 1,620,000.00
11. Ada ya Serikali ya wanachuo UWA TaSUBa 20,000.00
13 Kitambulisho Taasisi 10,000.00 no 6 na 12 nimefuta ni kwa ajili ya watu wa diploma.