Ninatafuta mchumba !

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Ninahitaji kua na mwenza sasa
sifa:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
miguu ya bia
mweupe
wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha kwanza
dini yoyote
sio freemason
au mpagani
 
kiwango chako cha elim plz!!! Maana uloyaandika unayajua mwenyewe!

darasa la pili dada !!!!!
Ww no huna sifa zangu !!!
Je mkubwa wako au rafiki, jirani yako plse nieleze upweke umenidizidi
lakini naashukuru kwa kunikumbusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom