La msingi kwa sasa ni wewe kumaliza shule kwanza...na sio kumaliza tu...bali kukomaa zaidi ili ushinde kwa kiwango cha kuweza kujitenga na wenzio mkiwa sokoni...pia kama ukiweza kuongezea ujuzi ktk field yako itakuwa vizuri pia...itakuwezesha kujitenga kwa umbali na wenzio pia wakati wa usaili au kutafuta kazi etc..