Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,444
Ndio lakini natafuta kazi niwe tajiriDuuh. Maskini wa jf
Mimi sipo kwenye siasa mkuu... Tumbo langu kwanzaMkuu kwa nini usijiite mnyonge wa JPM, ingependeza zaidi hata CCM wangekuonea huruma
Tena kwenye siasa ndiyo kunakufaa zaidiMimi sipo kwenye siasa mkuu... Tumbo langu kwanza
Mkuu mimi nipo serious.... Maisha yananiendea komboTena kwenye siasa ndiyo kunakufaa zaidi
Pole sana mkuuMkuu mimi nipo serious.... Maisha yananiendea kombo
Kwanza mkuu nashukuru kwa kunipa moyo!Leta wazo linalohitaji mtaji mdogo,...tufanye kazi
Wazo zuri,nikitoa mtaji faida nitapata vipi....na inachukua muda gani na maeneo utakapokuwa unapeleka mzigo ni mnadani au kunatakiwa kuwe na eneo/ofisi maalumu?Kwanza mkuu nashukuru kwa kunipa moyo!
ila napata ugumu maana mawazo niliyonayo ambayo ninaweza kufanya, mtaji unaanzia laki tano..
Na ni biashara ya nguo na viatu vya mtumba, mimi niko hapa karibu na soko la memorial Moshi mjini.. Naweza kuchukua mzigo hapo na kwenda kuuza kwenye sehemu maalumu nitakayoichagua
Ni ofisi maalumu..Wazo zuri,nikitoa mtaji faida nitapata vipi....na inachukua muda gani na maeneo utakapokuwa unapeleka mzigo ni mnadani au kunatakiwa kuwe na eneo/ofisi maalumu?
Utapenda ulipwe kiasi gani kwa mweziNi ofisi maalumu..
Kuhusu faida itachukua mda gani.. Kiukweli sijafanya uchunguzi wa kutosha.. Labda mkuu kama upo serious kabisa ungenipa mda nifanye uchunguzi ili niwe na uhakika ..
Nitafute sehemu, na nijue wapi pa kuanzia..
Vinginevyo ata kama wewe una wazo zuri unaweza kuanzisha na kuniajiri pia nipo tayari
Mkuu sijajua ni kazi gani utanipa..Utapenda ulipwe kiasi gani kwa mwezi
Bado sijafeli usinipe pole.. Nipe kauli ya kunitia moyo wa kupambanaPole sana mkuu
Kama nitatekeleza biashara ulioitaja,we utapenda ulipwe kiasi ganiMkuu sijajua ni kazi gani utanipa..
Kama ni biashara unaianza mimi nipo tayari unipe tu pesa kidogo kwaajili ya basic needs zangu mwenyewe.. Kulingana na biashara ikikua utanipandishia...
Kama biashara nitaifanyia hapa hapa moshi.. Laki mbili itanitoshaKama nitatekeleza biashara ulioitaja,we utapenda ulipwe kiasi gani
Na kwa mwezi hiyo biashara itakuwa imeingiza kiasi gani?Kama biashara nitaifanyia hapa hapa moshi.. Laki mbili itanitosha