Ninatafuta kazi

Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
You 'r pour 'n u 'll remain pour forever in JF.
Ooohh... What does the word "pour" mean? You repeated it twice in your sentence

Can i be your english teacher, atleast i can earn something?

Ooh BTW let me teach you this one freely....

Pour- mwaga au mimina

Example-- pour water

Your sentence supposed to be written "you are poor and you will remain poor forever in Jf"

Kama sijakosea nadhani hiyo ndio ilikuwa maana yako. Kama jibu ni ndio, basi mkuu hayo sio maneno mazuri kunitamkia, Kama wewe ni Tajiri au mtu unaeweza kujikimu kimaisha naomba unipe na mimi mbinu ili niweze kuwa kama wewe.
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,201
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,201 2,000

Dogo sikia, unaweza kuchukua au kuacha

Nenda Veta kapige udereva fastaaaaa, miezi 3 nadhani upate cheti cha Veta na mechanics pale veta upate cheti chake miezi 6 inakutosha

Navokuona uko njema sana, Rudi kuomba kazi za udereva nakuhakikishia December haifiki umepata kazi.
 
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Dogo sikia, unaweza kuchukua au kuacha

Nenda Veta kapige udereva fastaaaaa, miezi 3 nadhani upate cheti cha Veta na mechanics pale veta upate cheti chake miezi 6 inakutosha

Navokuona uko njema sana, Rudi kuomba kazi za udereva nakuhakikishia December haifiki umepata kazi.
Mkuu nilisoma udereva chuo cha modern Arusha, kwa sasa nina leseni ya class D, ata mimi ningependa kuendelea kusoma ila tatizo ni pesa! ... Ndio maana nafanya vibarua ili nijikusanye niweze kupata ada, au nifanye biashara itakayo niwezesha kupata ada

Shukrani sana mkuu
 
Father of all Snipers

Father of all Snipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Messages
320
Points
500
Father of all Snipers

Father of all Snipers

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2019
320 500
Nenda Chato mkuu, fursa kibao kule zimejaa.
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,201
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,201 2,000
Mkuu nilisoma udereva chuo cha modern Arusha, kwa sasa nina leseni ya class D, ata mimi ningependa kuendelea kusoma ila tatizo ni pesa! ... Ndio maana nafanya vibarua ili nijikusanye niweze kupata ada, au nifanye biashara itakayo niwezesha kupata ada

Shukrani sana mkuu
Omba kazi za Udereva sasa kama una cheti
 
kalipeni

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
802
Points
500
kalipeni

kalipeni

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
802 500
Ooohh... What does the word "pour" mean? You repeated it twice in your sentence

Can i be your english teacher, atleast i can earn something?

Ooh BTW let me teach you this one freely....

Pour- mwaga au mimina

Example-- pour water

Your sentence supposed to be written "you are poor and you will remain poor forever in Jf"

Kama sijakosea nadhani hiyo ndio ilikuwa maana yako. Kama jibu ni ndio, basi mkuu hayo sio maneno mazuri kunitamkia, Kama wewe ni Tajiri au mtu unaeweza kujikimu kimaisha naomba unipe na mimi mbinu ili niweze kuwa kama wewe.
Kumbe ni mwalimu mzuri wa kingereza hongera mkuu, Kuna watu wazima Kama sisi na vijana wengi wanaotamani kuongea na kuandika lugha ya malkia kwa ufasaha ukipata vichwa vyako 10 unaishi mkuu.
 
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Kumbe ni mwalimu mzuri wa kingereza hongera mkuu, Kuna watu wazima Kama sisi na vijana wengi wanaotamani kuongea na kuandika lugha ya malkia kwa ufasaha ukipata vichwa vyako 10 unaishi mkuu.
Ndio mkuu nikipata center nzuri mbona fresh
 
division 5

division 5

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
122
Points
225
division 5

division 5

Senior Member
Joined Jul 26, 2014
122 225
apeleke CV yake pale karibu na soko la samaki
Kumbe ni mwalimu mzuri wa kingereza hongera mkuu, Kuna watu wazima Kama sisi na vijana wengi wanaotamani kuongea na kuandika lugha ya malkia kwa ufasaha ukipata vichwa vyako 10 unaishi mkuu.
 
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Messages
304
Points
1,000
Cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2016
304 1,000
Mkuu kuna website moja inatwa tourbylocal , inahusikana mambo ya utalii, kwa mfano mtalii yupo UK anataka kuja kutalii eneo ulipo anafanya booking kweny huo mtandao, na mailpo mna kubalia akija unamtembeza tembeza hapo mtana kama kuna zoo au mbunga za adventure za siku moja utapata ela yako nzuri tu tena ww unadvantage umesomea. ungekua upo arusha au zanzibar ungefaidi. TOURBYLOCAL.COM google utaona ujisajili as personal guider
 
Forum statistics

Threads 1,315,680
Members 505,292
Posts 31,866,678
Top