Ninatafuta kazi

Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Habari wakuu

Ninatafuta kazi yoyote ya kuniinguzia kipato..
Nina uzoefu kwenye tourism and tour guiding

Pia nina leseni class d

Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali.

Nina miaka 20

Formfour nilipata div 4 ya 26
Nina certificate ya Wildlife and tourism
Ninaongea kiswahili na kingereza kwa ufasaha..

.. Kama kuna kazi ya kujitolea kwenye campsites,pia naweza kujitolea

Asanteni
 
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Modes nilisahau nimeweka jukwaa sio
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
26,171
Points
2,000
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
26,171 2,000
Mkuu kwa nini usijiite mnyonge wa JPM, ingependeza zaidi hata CCM wangekuonea huruma
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Leta wazo linalohitaji mtaji mdogo,...tufanye kazi
 
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Leta wazo linalohitaji mtaji mdogo,...tufanye kazi
Kwanza mkuu nashukuru kwa kunipa moyo!

ila napata ugumu maana mawazo niliyonayo ambayo ninaweza kufanya, mtaji unaanzia laki tano..

Na ni biashara ya nguo na viatu vya mtumba, mimi niko hapa karibu na soko la memorial Moshi mjini.. Naweza kuchukua mzigo hapo na kwenda kuuza kwenye sehemu maalumu nitakayoichagua
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Kwanza mkuu nashukuru kwa kunipa moyo!

ila napata ugumu maana mawazo niliyonayo ambayo ninaweza kufanya, mtaji unaanzia laki tano..

Na ni biashara ya nguo na viatu vya mtumba, mimi niko hapa karibu na soko la memorial Moshi mjini.. Naweza kuchukua mzigo hapo na kwenda kuuza kwenye sehemu maalumu nitakayoichagua
Wazo zuri,nikitoa mtaji faida nitapata vipi....na inachukua muda gani na maeneo utakapokuwa unapeleka mzigo ni mnadani au kunatakiwa kuwe na eneo/ofisi maalumu?
 
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Messages
208
Points
250
Maskini wa Jf

Maskini wa Jf

JF-Expert Member
Joined May 28, 2019
208 250
Wazo zuri,nikitoa mtaji faida nitapata vipi....na inachukua muda gani na maeneo utakapokuwa unapeleka mzigo ni mnadani au kunatakiwa kuwe na eneo/ofisi maalumu?
Ni ofisi maalumu..
Kuhusu faida itachukua mda gani.. Kiukweli sijafanya uchunguzi wa kutosha.. Labda mkuu kama upo serious kabisa ungenipa mda nifanye uchunguzi ili niwe na uhakika ..

Nitafute sehemu, na nijue wapi pa kuanzia..

Vinginevyo ata kama wewe una wazo zuri unaweza kuanzisha na kuniajiri pia nipo tayari
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Ni ofisi maalumu..
Kuhusu faida itachukua mda gani.. Kiukweli sijafanya uchunguzi wa kutosha.. Labda mkuu kama upo serious kabisa ungenipa mda nifanye uchunguzi ili niwe na uhakika ..

Nitafute sehemu, na nijue wapi pa kuanzia..

Vinginevyo ata kama wewe una wazo zuri unaweza kuanzisha na kuniajiri pia nipo tayari
Utapenda ulipwe kiasi gani kwa mwezi
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
6,225
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
6,225 2,000
Mkuu sijajua ni kazi gani utanipa..

Kama ni biashara unaianza mimi nipo tayari unipe tu pesa kidogo kwaajili ya basic needs zangu mwenyewe.. Kulingana na biashara ikikua utanipandishia...
Kama nitatekeleza biashara ulioitaja,we utapenda ulipwe kiasi gani
 
Forum statistics

Threads 1,314,977
Members 505,127
Posts 31,844,195
Top