Ninatafuta kazi ya kujitolea

judey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
455
Reaction score
542
Mm ni kijna miaka 22 ninaomba kazi ya kujitolea hususani kwenye maduka, supermarket, na kokote panako faa.

Mimi Niko vizuri katika Mambo ya:
Marketing, public relations, stores na sales

Lengo lakuomba kujitolea

Waswahili wanasema mkaa bure sio sawa na mtembea bure

- Naamini kupitia kujitolea kwenye duka au supermarket au kazi yako itanisaidia kukutana na watu mbali mbali ambao nitaweza kutengeneza connection mbalimbalii

Inaweza isieleweke vzr lkn mm ndicho ninacho kiaminii

Misingi yangu katika kazi ni juhudi na uaminifu

Natumainii ombi langu mtalisikiliza

Note: Nitajitolea kufanya kazi kwa juhudi zote

Mawasiliano 0626456047



Niko serious na swala hiliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…