Ninatafuta kazi ya IT-PROGRAMMING L

Ninatafuta kazi ya IT-PROGRAMMING L

for those languauges you have can you hack a bank...?..i have that Job for you
 
Jina langu ni meshack
makazi ni dar es salaam

Elimu yako tafadhali.

nina ujuzi katika PROGRAMMING
* C language
* C++ language
* HTML/CSS for websites
* JAVASCRIPT
* PHP
* MYSQL
* JQUERY & AJAX

Na library nyingi kama
* QT-PROJECT
* GTK++
Umewahi fanya project yoyote ya C au C++ programing? Ila isiwe calculator.
ANDIKA PROGRAM KWA KISWAHILI/PROGRAMMING IN SWAHILI(C++) API
Hapo mkuu sijakuelewa! Umetengeneza compiler yako au unatumia Dev++?
 
Yaaa
Nisha fanya downloader manager
Nisha fanya HTTP SERVER
SOCKET MESSENGER
AUDIO PLAYER
NOTEPAD
AND A VIRUS (NAME CLASSIFIED)
 
Nikushauri tu kuwa siku hizi ili ueleweke kiurahisi inabidi uwe na angalau ka-website kako, github etc,...somewhere ambapo watu wanaweza kukuthaminisha kiurahisi kuliko tu kuweka C.V ya maneno.
 
kama unataka kuamini
nitafute
na kwataarifa sikuanza C++ na calculater:A S 112::A S 13:

PHP:
<?php
echo "parameter.";
?>
 
Why you saying that?

Achana nao hao mkuu wanakuchuza tu hao,hayupo hata mmoja anaye weza kuku ajira hapo,, hao wenyewe karibu wote na hawana ajira na wanatafuta kazi walau hata ya office assistant wasikusumbue na vijiswali vyao uchwara hivyo..
Ona kama mwehu huyo mwingine anasema ''elimu yako plz' wakati ushaweka ujuzi ulio nao hayo ni madhara ya kuajiri vyeti badala ya watendaji.. Achana nao bana
 
Back
Top Bottom