Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,550
EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.
hata wakiendelea wewe inakuhusu nini? usiposimama wewe kwanza hakuna wa kukusimamisha! we unafikiri watatushika mikono ili tunyanyuke au watatukira zaidi ili tushindwe kusimama milele?EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.
Rudi kwenu Rwanda nani asiejua hila zenu pale Kivu...EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.
EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.
Kadanganye wengine huko, hakuna anayesuasua; watu wanafanya mambo kwa kuangalia maslahi yao! Hatuwezi kukurupuka ili tuonekane tunaenda kwa kasi bila kuzingatia national interest! Hata vuguvugu linaloendelea sasa ni kwa ajili ya maslahi ya nchi za wahusika; ingawaje pale ni maslahi ya Kenya zaidi! Watanzania hawawezi kuwa wapumbavu wa kushiriki development of nothern corridor wakati haina faida yoyote kwetu! Rwanda na Uganda wanatumiwa tu kama mazuzu; kama wewe ni Mkenya basi utakuwa unaongea la msingi otherwise utakuwa nawe na wananchi wenzako mnatumika tu! Kenyatta alivyo mjanja juzi akawapelekea Sudan ya Kusini ili wajione kwamba wana-expand wakati busara ya kawaida wala haioneshi ni namna gani nchi kama Rwanda wanaweza waka-benefit na uwepo wa South Sudan wakati pamoja na mambo mengine, hana ubavu wa kushindana na Kenya kugombea soko la Sudan!EAC haita vunjika mimi ni nacho ona ni TANZANIA kuondolewa au kujiondoa katika community sio kuvunjika,tatizo watanzania wengi wanafikiri TANZANIA ndio EAC,sio hivyo,naimani kwamba kutoka kwa tanzania itarahisisha mipango ya EAC kwenda kasi kwani mambo ya kusubiri wanao suasua kwa kigezo cha kua na hofu ya washirika wenzake eti wanataka udongo wa tanzania haiwezi jenga EAC,nafikiri hawa viongozi wamaliona hilo,EAC haita vunjika instead sasa ndio inaenda kuonekana kwa vitendo.