BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,160
vunja ukimya~inaletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekani
jaribu na hii pia ; pale unapokuanae au kukutana nae uwe unamhag na some mwamwa mashavuni then later on depending to the standung angle unaunganisha kumpelekea mdomoni uone kama atakataa......................hop so he may be traped
Hahahaha Cholo + jane 00 =yoriyori
mmh, jilipue, hawezi kukupiga.
Ukichelewa utakuta kanyumbuliwa sasa hivi
Ebu msome celine dion kwenye wimbo wake wa i love you..dont loose the only chance you might be having of being happy with the man you love. Vunja ukimya
Huu ushauri wako sidhani kama utamfaa kwani ni mtu wa dini sana, sasa mwaa mwaaa zikiwa nyingi sana zinaweza kuharibu.
ukweli nimempenda huyu kijana wa ki....(mzungu) kutoka moyoni mwangu, sijawahi kuwa na relationship na mtu wa mataifa haya so hata sijui ni vitu gani wanapendelea na ni vitu gani hawapendelei...niko kwenye dilema
Wanaume Marijali huelewa punde binti anavyo shoboka juu yake.. Ushauri..
1. Mpige mi Body Language ya hatari.. Kama ni Dume la ukweli utashangaa tu ucku ana ku wish G9t.. Aspofanya hvyo then mtoto cio Ridhk..
2. Tegua (harib) kitanda unacholala then mwite geto kwako aje kukikaza.. Then u know what 2 do.. Akipona na hapo jua Sio Rijali.
Kumbe ni mzungu? Mbona rahisi sana kumpata!
Hahahaha Cholo + jane 00 =yoriyori
muulize kama anapenda pilau umpikie umplekeee
ataelewa.....
au mwambie umepika chapati na kama anapenda umpelekee chapati lol
muulize kama anapenda pilau umpikie umplekeee
ataelewa.....
au mwambie umepika chapati na kama anapenda umpelekee chapati lol
asisahau chupa ya wine, akiwa amevaa evening dress (sio misuruali wa mikaptula) nyepesi na iwe nivijimikanda tu (sleeveless)