Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,848
- 20,697
Ni kweli mkuu,CCM isipokuwa makini katiba ya 1977 inaweza kuleta mziba mzito.Mikakati makini ni lazima ianze sasa, ili Chama kisiwapoteza Wasukuma na watu wengine wa kanda ya ziwa.Na kufanikiwa katika hili ni lazima tumuenzi Magufuli kwa nguvu zetu zote.Yeyote anayetukwamisha katika hilo ni lazima tusimvumilie.Katiba ya mwaka 1977 umekuwa msiba kwà chama tawala. CCM isipojipanga vizuri kuna uwezekano kukaibuka kura za turufu kanda ya ziwa na ccm ikapotea hewani.