Ninapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza nashindwa kufanya tendo

Dah! Puchu Mbayaaa! inazidi Kutupotezea Vijana Nguvu Ya Taifa! Na Wanasayansi Wa Kizungu Wanataka Wagonge Wao tu!! Ndio maana Wakawa Wanatupigia debe tupige Puchu eti haina Madhara! Hatimae Free Kick Hiyo tumbukiza Mpira Kimiani, Wewe unautoa Wa Kurushwa.
 
Hiyo ya kulala sijui ila performance ya mara ya kwanza huwa ndogo, ila rematch huwa ya nguvu haswa ikirudiwa within a week
 
Kila napokutana na mwananamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu....leo ndo nmetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabsa naomba ushauri wadau.
Mkuu inaonyesha umeacha mchezo wa kujichua hvi karibuni. Usijali tuliza akili speed itarudi.
 
Dah! Puchu Mbayaaa! inazidi Kutupotezea Vijana Nguvu Ya Taifa! Na Wanasayansi Wa Kizungu Wanataka Wagonge Wao tu!! Ndio maana Wakawa Wanatupigia debe tupige Puchu eti haina Madhara! Hatimae Free Kick Hiyo tumbukiza Mpira Kimiani, Wewe unautoa Wa Kurushwa.

:D:D:Dhaaa haaa haa mkuu au una experience na madhara ya hii kitu???
wazungu wamefanya tafiti, tena waweza tumia puchu kutibu matatizo hayo hayo ya nguvu za kiume... tatizo wabongo wananogewa wanazidisha mnoo...
 
Mkuu Ni Ukweli Usiofichika Kuwa Hakuna Mtaalamu, Mwanasayansi, Daktari, Wala Mwanasaikolojia Yoyote Anayejua Madhara Ya Puchu Ndiyo Maana Wakasema Haina Madhara.

Anayejua Kuwa Puchu ina Madhara Ni "Mpiga Puchu Mwenyewe tu" na si Mwengine.

Kwahiyo Ukitaka Kujua Kuwa Puchu ina Madhara au Haina Basi Kamtafute Mpiga Puchu ndiye Mwenye jibu Sahihi, si Daktari wala Mwanasayansi anayejua Madhara Ya Puchu.
Na Ndiyo Maana Wakadai Haina Madhara.

Mkuu Ninayazungumza Haya Kwasababu Mimi Mwenyewe Ni "Victim" Wa Madhara Ya Puchu I swear!!

Mkuu Puchu Mbaya Trust me, Ina Madhara MakubwaAmbayo Inakuchukua Miaka Mitatu Kujirecover Baada Ya Kuacha.

"MADHARA YA PUCHU MUULIZE MPIGA PUCHU"
 
sante sana mkuu
 
pole saaaana bro,maana wngne tukipataga papuchi mpya huwaga dushelele halilalagi! nakushauri uwaone wataalam wakusaidie hilo ni tatzo la ukweli.
 
Pole sana, na mie nina katatizo kanataka kufanana na kako, nikiwa na papuchi nikaenda akapela goli la kwanza ni dk 4 hila nikivaa mpira goli la kwanza dk 25 nafika
 
Ooooh......Hili tatizo......
Unaweza kuja clinic kwangu nikutibie.......?....

Dr Preta.......
Kijana kapate k ya mtoto mzuri offer maalum hlf punguza uoga au mambo hayo umeanza ukubwani nn
 
Back
Top Bottom