Ninapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza nashindwa kufanya tendo

properties

Member
Jun 3, 2016
59
57
Kila napokutana na mwanamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu... Leo ndio nimetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabisa.

Naomba ushauri wadau.
 
eeeeeh dar .
.bwana pole inaonekana umepiga nyeto sana had hisia hamna
 
Hilo tatizo wengi tu wanalo,inaonekana unakamia sana game.Jaribu kupunguza mawazo ukiwa na duu wako,jaribu kutafuta wanaovuta hisia(angalau ameumbika na sura imo),punguza kujichua,weka ratiba angalau kwa wiki mara 2 itasaidia kukujenga kisaikolojia.
 
Wewe unatatizo la pressure,au komamoyo!pima mzee,akili ikilikubali hilo ndo bhaaaasss utakuwa unaujanja wa mkasi,mbele hata kama haukati ila nyuma lazima utiwe vidole
 
Hilo tatizo wengi tu wanalo,inaonekana unakamia sana game.Jaribu kupunguza mawazo ukiwa na duu wako,jaribu kutafuta wanaovuta hisia(angalau ameumbika na sura imo),punguza kujichua,weka ratiba angalau kwa wiki mara 2 itasaidia kukujenga kisaikolojia.
Sasa mkuu ww ndo unamuua kwa wiki Mara mbili
 
mi mwenyewe ninapokutana na. mwanaume mara ya kwanza nashindwa kabisa yaaani...
 
duuuh pole sana afu hapo unakuta demu umemkamia kinyama afu bonge la manzi afu mzee hata hashituki unaweza tamani umsingizie kua unaumwa ghafla tumbo la kuharisha hahahha. #CHIPSMAYAI
ushauri
1. usimkamie demu et leo akija nitampa vitu mpaka asahau chupi
2.mwambie mshugulike wote ili kuvuta hisia kama kunyonyana kila sehem unayoona zinaleta hisia za mapenzi
3.kama unachepka haya ndo madhara yake mungu anakukomoa upate aibu ili baki na mke wako wa ndo
 
Huna nguvu za kutosha una matatizo yanayoanzia kwenye ubongo mpaka kwenye mishipa na misuli ya uume..
 
Una upungufu wa nguvu za kiume.
punguza kujichua.Kapime sukari yako na pressure yako.Shem naye ajaribu kukunyonya.
 
Duuh tunatofautiana, upande wangu pale ninapomzoea mwanamke zaidi ya miezi tatu hisia zinapungua juu yake yaani simtamani tena kimapenzi. Lakini demu mpya hisia zinapanda mpaka dushe linakuwa gumu km rungu halifikirii kulala.
 
Acha uoga wa kuiogopa papuchi... Unampandilia juu bila hata maandalizi!? Ni aje wewe? Tulizana take your time shughuli hii haitaki hasira.

Kila napokutana na mwananamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu....leo ndo nmetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabsa naomba ushauri wadau.
 
Kila napokutana na mwananamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu....leo ndo nmetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabsa naomba ushauri wadau.
kama nmekuelewa vizuri mkisha zoeana na msichana huwa unakuwa vizuri tu.. yaan shida yako ni ile siku ya kwanza?
ni common saana kwa watu wengi sema huwa hawasimuliani. kimsingi kama hali ndo hiyo medical causes (kisukari,pressure nk.) hapo hazihusiki. hiyo ni tatizo la kisaikolojia. hiyo ni "situational sexual dysfunction" wengine utakuta kwa kawaida ana nguvu za kiume ila anakuwa hana nguvu akiwa guest fulani, au akiona rangi fulani au akiwa na mtu fulani au kama wewe ikiwa ni siku ya kwanza..
hivyo hata matibabu yake yatakuwa unahitaji "biopsychosocial therapy" ili upone.
 
Back
Top Bottom