Ninapokubalika tu napoteza appetite. Nini shida?

Ninapokubalika tu napoteza appetite. Nini shida?

Ukiona hvyo ujue ujapenda bado, ukipenda uwezi fanya hayo unayoyafanya
Broo sijajua ni vigezo vipi vinavyotumika ku prove kama umependa au huja penda , ila kama ni ule msukumo toka moyoni kutilhibitisha hisia zangu kwa kitu au mtu fulani huwa ninao. Mana zile stress kama zote na kumuwaza mtu kichwa kuuma. Tatizo akisema Yes tu apo ndo Hamasa inapungua. Lakini akinichit au akianza kunilingia ndo ule upendo unarudi naanza fighting kuhakikisha tunakuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatafuta kukubalika na wanawake ili ujiskie proud of yourself.
you get pleasure not from having a woman, but from being accepted by a woman.
huna tofauti na mwanamke anaetafuta attention ya wanaume ili ajiskie anapendwa.
una low self-esteem ndo mana unataka kuiboost pride yako kwa kutafuta acceptance from these women.

Sent using Jamii Forums mobile app
Some how you can be alright but hiyo hali huja automatically na sio kwamba niko proud of it mana napoteza watu muhimu katika maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Some how you can be alright but hiyo hali huja automatically na sio kwamba niko proud of it mana napoteza watu muhimu katika maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna documentary flani nilikua nangalia, yule alokua anahojiwa akasema a human being is like a PC, a PC cannot function without drivers, just like how a human being cannot function without hormones.. hormones are your drivers, and sometimes they drive you crazy.

mi nakushauri uingie youtube uangalie videos zinazoelezea kuhusu hormones, psychology na nervous systems e.t.c zitakusaidia kujitambua usiishi kizombizombi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona unatumia muda mrefu sana kukubalika na mwanamke miaka mitatu hadi minne ni muda mrefu sana ndugu.Hapo ndipo shida yako inapoanzia kwa muda huu mrefu akili huwa imeanza kukata tamaa hata kama ni mwanamke wa kuoa.

Pitia upya maamuzi yako ya kuchukua muda mrefu kwenye mahusiano na mwanamke tena bila kuwa amekupata tunda.Haya yalikuwa ni mahusiano ya zamani wakati wapendanao walipokuwa wanadai kuchunguzana kabla ya kuoana siku hizi ni mahusiano ya ki mwendo kasi maana hata siku hizi ziko pilipili za mwendokasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss simply unaupungufu wa nguvu za kiume pole sana kajifukize and the like alternative
 
Broo sijajua ni vigezo vipi vinavyotumika ku prove kama umependa au huja penda , ila kama ni ule msukumo toka moyoni kutilhibitisha hisia zangu kwa kitu au mtu fulani huwa ninao. Mana zile stress kama zote na kumuwaza mtu kichwa kuuma. Tatizo akisema Yes tu apo ndo Hamasa inapungua. Lakini akinichit au akianza kunilingia ndo ule upendo unarudi naanza fighting kuhakikisha tunakuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatzo lako ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kukushauri nilivyolielewa naamini utasaidika maana hapa ndio mahala pake
 
Hello ladies and gentlemen. I hope mko poa.
Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda.

Kuna inshu naichukulia poa but naona yazidi kuniathili kila kukicha.

Binafsi napompenda mdada huwa nipo serious naye na napambana bila kuchoka .Huwa nipo tayari kutumia gharama, muda na maarifa yote kumpata. Na huwa sichoki naweza mfatilia hata miaka 3,4 mpaka 5.

Chakushangaza pindi tu mdada anapoanza kuonesha dalili za kunikubari basi naanza punguza hamu nae na kumuona wakawaida..

Hili limekuwa likiniathiri zaidi kwenye mahusiano yangu maana baada ya bint kukubari kuwa na Mimi na akaonesha kunielewa basi huwa namchukulia poa sana , ila atakapoanza kunisumbua ndo naanza kuhaha na natambua thamani yake na akikubari tukisuluhisha tofauti tu namuona wakawaida tu. So najikuta nawapoteza wanawake naowapenda na walonipenda kimasihara.

Natambuwa uwepo wa wanasaikolojia humu JF, hebu nisaidieni nina shida ya kisaikolojia au najiendekeza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Unasumbuliwa na hulka wa kishoga.
 
Back
Top Bottom