Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,676
Duh! huyu dogo akiwa mdogo hivi macho yapo hapo atakapokua itakuwaje?
Halafu we Bujibuji usitutanie nyimbo zetu kutuwekea picha za hivyo.... Mwa vayangu Fixed Point , moto2012
kadoda11, VUTA-NKUVUTE, kadoda
mtamanyali
Kuna mundu akutiwanja konu.... Muhika mwavoha tintovaa ni pawaka
Si unaona hata nguo zake?Katakuwa katoto ka yule Iyena Iyena ndio anapenda mambo hayo..
Mbona hana mpododo!!!
Mbona kamefanana na katoto ka mkuu Mtambuzi kalikopotea juzi kati?
Mkuu hata mimi nimeona, huyo mama yupo nyuma ya mgongo wa huyo dogo na wakati huyo dogo anatazama upande wake wa kushoto nafikiri atakuwa ameliona School Bus lao linakuja sasa ameanza kufurahi.Haangalii mpododo bana, sema kwa kuwa ni 2D ndo mana inatuchanganya!! Tazama distance iliyopo kati ya huyo mama na huyo mtoto kwenye sakafu, ndio utagundua kuwa hawezi kuwa anamtazama huyo mama!!