comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,784
- 18,166
Mimi ni MEEE a.k. mbuzi dumeComrade wewe ni me au ke
Tafuta pesa wacha kuwaza kupendeza utachapiwa sana masharobaro wengi kama wewe ni wachumia nguoMimi ni MEEE a.k. mbuzi dume
unataka kunipa dada yako nini mkuu
thread hii inakuja kwako Kwa udhamini mkubwa kabisa wa samsung s8+!
Comrade, mtaani wanapenda kuniita mzee wa black and white!
eebanaeE! sijisifii, lakini kwa upande wa kutundika mavazi mwilini sipo nyuma, asee napenda kupiga nguo black and white! kama hapa sasa nimepiga raba kaliiii aina ya NIKE nyeupe, yenye thamani ya 80,000 za kitanzania!
oohhooo! subiri sasa nikupe vihendo!
nikiwa nimekula na modo kali nyeusi tiii, na Tshirt moja hatari sana nyeupe peeee! mkono wa kushoTo nikiwa nimepiga saa moja kali sana aina ya ROLEX!
aseee nikipita kitaa wake kwa waume wote macho kwangu kwa jinsi nilivyopigilia pamba!
asee wazee jitahin muwe mnatundika viwalo kama mimi, sio mtu unavaa nguo zina rangi rangi kama kachumbari! mwisho wa siku watu watakuita Mr.kachumbari flevaa!
mimi ndimi comrade a.k.a. MR. BLACK & WHITE.
Nenda jukwaa la kilimo au biashara, kwahyo hatakama tunatafuta pesa tusipendeze?Tafuta pesa wacha kuwaza kupendeza utachapiwa sana masharobaro wengi kama wewe ni wachumia nguo
Pendeza mfukoni [emoji41][emoji41]hata hivyo unafaa sana kwenda kulima kabichi gerezaniNenda jukwaa la kilimo au biashara, kwahyo hatakama tunatafuta pesa tusipendeze?
Ninamiliki kampuni ya kubet, hayo mambo ya kulima nimewaachia wasukuma aseePendeza mfukoni [emoji41][emoji41]hata hivyo unafaa sana kwenda kulima kabichi gerezani
[emoji23][emoji23][emoji23]mtanzania anaweza kumiliki hata white house nyumbani kikubwa aipake rangi nyeupeNinamiliki kampuni ya kubet, hayo mambo ya kulima nimewaachia wasukuma asee
Pitia uzi wangu kwenye sports ndio unijue vzuri[emoji23][emoji23][emoji23]mtanzania anaweza kumiliki hata white house nyumbani kikubwa aipake rangi nyeupe
[emoji23][emoji23][emoji23]ko nianze kukufatilia Kwa ufupi si bora nimfatilie zero IQPitia uzi wangu kwenye sports ndio unijue vzuri
Acha kulima makabich njoo nikupe ajira[emoji23][emoji23][emoji23]ko nianze kukufatilia Kwa ufupi si bora nimfatilie zero IQ
Haya nipe nataka yakumshusha sindiria Na chupi mkeo[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kulima makabich njoo nikupe ajira
Mimi mjerumanLazima utakua muhaya
Mke wangu ana bwawa nawewe una kibamia hutamuweza jamaaaHaya nipe nataka yakumshusha sindiria Na chupi mkeo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mke wangu ana bwawa nawewe una kibamia hutamuweza jamaaa
Nipe mkewako wewe nimuongeze ukubwa wa tundu maana ni duduwasha la haja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"The aim is to be rich and not to look rich".Tafuta pesa wacha kuwaza kupendeza utachapiwa sana masharobaro wengi kama wewe ni wachumia nguo