Ninapangisha chumba na baraza

Ninapangisha chumba na baraza

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Ipo changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Inatazama barabara ya changombe.
Nyumba ipo ndani ya gate lenye parking ambayo ni free. Chumba hicho na baraza kina choo na bafu pamoja peke yako ila jiko mta share na mwenzako wa upande wa pili.
Kodi ni 180,000/= kwa mwezi na mkataba ni miezi sita, sipendi mkataba wa mwaka
wasiliana na 0713 68 96 65.
 
nitaftie nyumba wilaya ya ilala ya vyumba 3 isizidi lake 4
 
Fafanua kidogo..baraza unamaanisha sebule?!
 
Back
Top Bottom