Ninaomba ufafanuzi juu ya hawa ALIBABA

1. Alibaba wanafanya biashara na wachuuzi na wateja wa rejareja. Ukitaka kufanya manunuzi ya reja reja kama mteja wa kawaida then unaenda Aliexpress ukitaka kufanya manunuzi ya jumla unakwenda alibaba.

2. Mzigo unalipiwa online kwa njia ya bank, au other means kama PayPal na kadhalika....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom