A AnkoK New Member Joined May 11, 2017 Posts 1 Reaction score 1 Aug 1, 2019 #1 Habari wadau, Ninauza Mhogo uko Shambani, Kibaha-Soga. Nililima Hekari 10(10Acres). Una uchungu,hivyo unafaa kwa matumizi ya Unga,na kwa mahitaji ya viwandani. Naulizia Wa-china wanaonunua Mhogo hapa Nchini.
Habari wadau, Ninauza Mhogo uko Shambani, Kibaha-Soga. Nililima Hekari 10(10Acres). Una uchungu,hivyo unafaa kwa matumizi ya Unga,na kwa mahitaji ya viwandani. Naulizia Wa-china wanaonunua Mhogo hapa Nchini.
Tifubaby Senior Member Joined Jan 19, 2018 Posts 182 Reaction score 283 Aug 1, 2019 #2 Kila lakheri watakuja
ahmedjuma4 Senior Member Joined Jul 16, 2019 Posts 107 Reaction score 224 Aug 5, 2019 #3 Tafuta connection ya wateja Kutoka Rwanda [emoji1206] mkuu!!