Una moyo wa uvumilivu sana mkuu!huyo mdogo wako c ni mtu mzima kabisa,asa we unahangaika nae wa kazi gani?
Kwani ni mlemavu?! Mtafutie kazi. Atasoma mpaka wapi? Na umuambie wanaume siku hizi hawataki wake wavivu, ataishia kuwa small hausi ya kila mwenye vijisenti!
kiukweli ananichosha tuu na siyo mdogo kivile tumepishana miezi 10 tuu kuzaliwa jamani wazazi wake wameshanawa mikono, kahamia kwangu sasa sijui nimfanye nini na hiyo IT anayotaka ikipatikana sijui atasoma yaani ni msalaba
Wala usikubali akutese. Tena umuambie asome magazeti ajiombee kazi, na ukiskia kazi mahali muambie aombe. No pocket money, nunua pads, lotion na deodorants bwaga hapo.
mie nna dadangu is 36 yrs old na anadeka kuliko huyo. Anafanya kazi professional kabisa na anakuomba kodi ya nyumba. Huwa namuambia nenda kakae kwa mshua pale, free rent ya kufa mtu hehehe.
Hanna msomaji hapo anakuzingua tu Dada angu .
ashakuwa jimama mzima huyo anakula bule analala bule anakunya na kupendeza bule kuna vidume vinampanda coz anapendeza .
usumbufu na kudeka kunamwisho wake ww unakosea unaendelea kumlemeza.
mtafutie kazi huyo kama dunia ya elim ashapishana nayo akipigika ndani ya kazi ndio atashika adabu harafu unamwambia akazane ili aje ajiendeleze baadae kujisomesha kwa kujiwekea akiba ili aone
umesha play your part.mtu asiye jielewa ni mzigo.ukisaidiwa nawe onesha ushirikiano,sasa huyo hana ushirikiano.nina hasara kubwa alitaka mtaji wa milioni 5 nikampa 6, nikasafiri, narudi nakuta vitz ipo nje nauliza naambiwa ya mama mdogo, kumuuliza kasema hakupanga kufanya biashara ya milioni 6 hivyo kaamua anunue gari, sasa hivi nimefunga kioo gari haina service wala mafuta limekaa tuu, nataka nimpangie vyumba kodi ya mwaka nimtafutie chuo nilipe ada ya mwaka, nimpe mtaji then nimbebe mpaka kwa wazazi wake nikambwage hapo kuwa msaa da wangu umeishia hapo atakuwa na hiari kukaa kwa mama yake au kwenye vyumba vyake
nakubaliana na weweumesha play your part.mtu asiye jielewa ni mzigo.ukisaidiwa nawe onesha ushirikiano,sasa huyo hana ushirikiano.
Hiyo business administration inamtosha kuomba kibarua.pia wewe unajuana na watu hata kwenye saccos,microfinance companies kibao,customer care samsung,airtel aombe huko ajitegemee lasivyo atasoma mpaka azeeke na atakuwa mzigo.bado kidogo atakuletea ka baby.angekuwa na akili milion sita asingekuwa tegemezi teena.watu wanakopa milioni moja wamekuwa na maisha ya kujitegemea sembuse yeye ya kupewa? Da kweli umasikini wa akili ni mbaya kuliko wote.maoni tu haya kutokana na mtoa thread, other things remain constant,labda kakata tamaa
nina hasara kubwa alitaka mtaji wa milioni 5 nikampa 6, nikasafiri, narudi nakuta vitz ipo nje nauliza naambiwa ya mama mdogo, kumuuliza kasema hakupanga kufanya biashara ya milioni 6 hivyo kaamua anunue gari, sasa hivi nimefunga kioo gari haina service wala mafuta limekaa tuu, nataka nimpangie vyumba kodi ya mwaka nimtafutie chuo nilipe ada ya mwaka, nimpe mtaji then nimbebe mpaka kwa wazazi wake nikambwage hapo kuwa msaa da wangu umeishia hapo atakuwa na hiari kukaa kwa mama yake au kwenye vyumba vyake
hahahahaha nimechekaje ila inaumiza
hahahahaha nimechekaje ila inaumiza