Ninaomba MDAHALO wa kisiasa na Nape Nnauye

nape aliwaambia yupo nje ya nchi na tunatofautiana masaa nane. so mkisema muanze saa hizi mtakua mnamuonea sababu yeye bado ni usiku labda saa hizi kwake ni saa saba za usiku. mungemtaarifu kwa pm kuangalia kama yupo hewani. mia

Kwa tofauti ya masaa 8 inamaana huko aliko Nape ni saa 10 jioni, anaweza kushiriki tu na ratiba aliiona hapa, labda aingie mitini tu!
 
Nina uhakika Nape ameingia mitini, Hongera Yericko Nyerere kwa kumtia Hofu Nape, Mods Tafadhalini sana kwa kitendo hiki cha Nape kuingia mitini kwenye mijadala ya msingi ambayo sina uhakika kama alithibitisha ushiriki wake, ila kama alithibitisha ushiriki wake halafu akaingia mitini, Ale Ban ya moja kwa moja asishiriki kitu huku jf.
 
subira huvuta kheri
 
Kwa tofauti ya masaa 8 inamaana huko aliko Nape ni saa 10 jioni, anaweza kushiriki tu na ratiba aliiona hapa, labda aingie mitini tu!

Ni saa 10 tar ngapi huko alipo Nape?Nina wasiwasi hii tofauti ya masaa 8 ni nyuma kwa tanzania!Kama ni hivyo,alipo Nape sa3 ya huku kule ni sa7 usiku wa tar 25/12!
 
wapi Nnauye Jr wadao wanakusubiri wewe, mods inawezekana Nape anatatizo la kulog in msaidieni tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Maswali kwa nape kama ataibuka: je anaifahamu vyema katiba ya chama chake ccm? If anaifahamu kwann amekuwa akihutubia majukwaa mambo yanayokinzana na katiba hiyo mfano sakata la kumtuhumu dr. Slaa kuwa na kadi ya ccm? Je anafahamu majukumu yake kama katibu wa itikadi na uenezi wa ccm? Je kutuhumu watu maarufu wa vyama vingine ni moja ya kazi yake ama ni njia ya yeye kuseek attention ya media? Kwanini akianzisha mjadala hapa Jf huwa hajibu hoja za wadau badala yake anatoweka na kuacha mjadala hewani?
 
Ngoja nimpigie simu nape kumwambia aamke maana kuna vijitu hapa vinasema Amekimbia mdahalo mara ooh ccm ndio zao tukutane kule GT ...TUTARUDI
 
Back
Top Bottom