Ninaomba mdahalo na Polepole

Ninaomba mdahalo na Polepole

Bishweko

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
4,280
Reaction score
2,980
Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.

Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?

Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.

Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.

Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.
 
Mkuu unataka kwenye media ipi? Huku sidhani kama anapatikana, yeye ni Channel ten tu.
 
Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.

Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?

Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.

Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.

Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.
Achana na huyu mwizi wa laki 6.
 
Polepole amekula fedha mbaya sana mimi nimemshangaa yeye anasema ni mdau wa maendeleo na katika makongamano yake alikuwa anakosoa kwamba katiba iliyopo na inayopendekezwa haiwezi kuleta mfumo mzuri wa kimaendeleo na kiuchumi aliamini katika mfumo wa serikali 3 kama rasimu yao ya 3 ya katiba walivyoandika.

Lakini leo cha ajabu anakuja kuisimamia na kushabikia ccm ishike madaraka tena ambayo inaamini katika mfumo wa serikali 2 ambao amekuwa akiuponda sana kuhusu maendeleo ya watanzania. Vipi sasa Maendeleo yatakuja kwenye mfumo huo? sidhani kama atakuwa na majibu.

Au atawambie kwamba sasa si mdau tena wa maendeleo na yeye anaifuata ccm kwa sababu tu amezaliwa akiwa ccm na haangalii tena mambo ya msingi ya mabadiliko. huwa ni ujinga kuwa na elimu usiongozwe na elimu baadae ukaongozwa tu ni utashi.
 
Mwache tu ni mvulana anayesukumwa na ambition!

Mkuu tukimuacha huyu Polepole analipotosha taifa nani aibu kwetu tunao elewa tukikaa kimya. Polepole is a layman of our history and what Tanzanians wants. NATAKA MDAHALO NA POLEPOLE
 
Mwenzakko Yericco alishinjwa juzi na Le mutuzz naww wataka aibika eeeh
 
Mkuu tukimuacha huyu Polepole analipotosha taifa nani aibu kwetu tunao elewa tukikaa kimya. Polepole is a layman of our history and what Tanzanians wants. NATAKA MDAHALO NA POLEPOLE

Nenda chanel ten ukaombe watakukubalia bila shaka, ila na wewe ujifunze kuandika kabla ya kuwa mwalimu wa polepole, kiswahili chako nacho sio fasaha na hata hicho kiingereza chako nimeona kuna katatizo kadogo hapo Mh.
Ni maoni tu mpinga ujinga.
 
Polepole amegeuka kuwa kichaka cha katiba ya warioba,ccm bwana ukijipendekeza unakula kwako'mzee warioba amegeuka katiba pendekezwa ya wananchi,watz sisi ni watu wa ajabu kweli
 
Tofautisha mambo, kipindi kile warioba na polepole walikuwa wanazungumzia katiba ya nchi, kwa maana wao walipita kwa wananchi na wakapokea maoni ya wananchi, hivyo walitetea maoni ya wananchi, sasa hivi ni mada tofauti, ukizingatia uzoefu wao walio upata wakati wa kukusanya maoni, wameona hali halisi ya wananchi hao, hivyo sasa hivi wanatetea mtu ambaye ataweza kuleta mabadiliko kwa wananchi na sio wakae kimya kuangalia nchi inachukuliwa na mwizi, fisadi. Nawapongeza warioba na polepole
 
Ndugu wanajamvi kwa siku nyingi nimemuona na kumsikia jamaa huyu kwenye media. Nimejisikia vibaya zaidi siku ya jana akiwa channel ten baada ya kudiriki kulidanganya taifa.

Nilijiuliza mambo na maswali mengi moja ikiwa ni huyu jamaa amesomea wapi,walimu wake wapo na ameishi wapi?

Mtu kama huyu si mzuri kabisa na mimi naomba mdahalo naye atakama ni mkoani ila niko tayari kujq DSM. Eti Nyerere kazi yake ilikua ni uhuru na umoja. Mtu ajui ata historia ya taifa ili.

Hata the first five year development plan aijui na import-export substitution industries ajui,SIDO ata na viwanda kama MATSHUSHTA, GENERAL TYRE, WAZO, TIPA, UFI, ZZK, BUKOP nk ajui vilijengwa na nani.

Naomba mdahalo na pole pole angalau niwe mwalimu wake wa muda.

Think tank yenu Yericko alitamani aingie uvunguni juzi sembuse ww?
 
Mdahalo huo unaoutaka ni "Live programme" au "Recorded programme"?

Umewasikia TCRA lakini? Usiseme hatukukutahadharisha....
 
Polepole Nilishampuuza Mda Mlefu Hoja Zake Hazina Mashiko Zimetawaliwa Na Ashki Ya Ukada Wa Chama Tawala
 
Tofautisha mambo, kipindi kile warioba na polepole walikuwa wanazungumzia katiba ya nchi, kwa maana wao walipita kwa wananchi na wakapokea maoni ya wananchi, hivyo walitetea maoni ya wananchi, sasa hivi ni mada tofauti, ukizingatia uzoefu wao walio upata wakati wa kukusanya maoni, wameona hali halisi ya wananchi hao, hivyo sasa hivi wanatetea mtu ambaye ataweza kuleta mabadiliko kwa wananchi na sio wakae kimya kuangalia nchi inachukuliwa na mwizi, fisadi. Nawapongeza warioba na polepole
Huyo fisadi amekufisidi nini kama sio ushabiki
 
Mdahalo huo unaoutaka ni "Live programme" au "Recorded programme"?

Umewasikia TCRA lakini? Usiseme hatukukutahadharisha....

Ni vizuri ukiwa live mkuu TCRA hao bado kabisa. Unakumbuka wakati wa BOTHA na apartheid gov yake? Ilifika muda wakanywea kabisa no fear anymore.
 
Tahadhari: TCRA Hawataki "Live programme" katika kipindi hiki cha uchaguzi kama wewe sio msemaji, mgombea...kwa

kutaja machache.

Sababu: Unaweza kuuvuruga mchakato wa uchaguzi kwa kuwa "on Live programme"
 
Jana kwani aikua live na Polepole anagombea nini?Naomba mdahalo na polepole
 
Tatizo ni kuongozwa na tumbo badala ya ubongo.Watanzania wengi sio wazalendo.Anayoongea Polepole sio bahati mbaya
wala sio kwamba hajui.Ni kwa maslahi yake binafsi, haitakiwi kwenda shule kuelewa hali halisi ya maendeleo ya nchi yetu.
Jana nilimshangaa hataki tujilinganishe na China ambayo sometimes ago tulikuwa tunalingana kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom