Ninaomba kufahamishwa umahiri wa Kocha wa Stars Salum Mayanga kwenye soka la Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,237
Kimsingi Kocha wa Timu ya Taifa ya nchi yoyote ni MTUMISHI WA UMMA , anatumikia timu ya taifa , hivyo ni lazima wananchi husika wamfahamu vizuri umahiri wake na uwezo wote kwa ujumla , ili waweze kutathmini hadhi yake kama anastahili kazi aliyopewa.

Sasa mwenye kufahamu mafanikio ya Salum Mayanga huko alikotoka , mpaka kufikia kupewa shavu la kufundisha Timu ya Taifa ya Tanzania atuwekee hapa .

Mengine yatafuata baadaye .
 
Simjui Mayanga....
siwezi kusema hafai au anafaa lakini kwa perfomance ya COSAFA
siwexi sema hafai...
kwa mara ya kwanza timu imepanda ranks karibu 20 au zaidi chini ya kocha mzawa
kwa mara ya kwanza tumewafunga South Africa

Tatizo la taifa stars ni zaidi ya kocha
liko deep

lishe mbovu
mentality mbovu
uongozi mbovu
na mengine....kocha huyu huyu angeifundisha Zambia angefanya makubwa zaidi
 
Kocha yupo safi. Wewe umeonaje kwani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau na kudanganya umri pia
 
Hapana aseee.... Timu haina plan b... Yaani siku zote yeye ni kujilinda tu awe nyumba awe ugenini... Mkibanwa tu basi mpira umeisha
 
Simjui Mayanga....
siwezi kusema hafai au anafaa lakini kwa perfomance ya COSAFA
siwexi sema hafai...
kwa mara ya kwanza timu imepanda ranks karibu 20 au zaidi chini ya kocha mzawa
kwa mara ya kwanza tumewafunga South Africa

Tatizo la taifa stars ni zaidi ya kocha
liko deep

lishe mbovu
mentality mbovu
uongozi mbovu
na mengine....kocha huyu huyu angeifundisha Zambia angefanya makubwa zaidi
Kumbuka kwamba COSAFA mataifa yote yamepeleka timu za Taifa za vijana/akiba. Je, Mayanga naye angepeleka timu kama hiyo bado angefanya vizuri?
 
Mtoa mada aliulizia anaye mfaham Mayanga! Huyu jamaa amechezea Mtibwa tangu ikiwa daraja la tatu hadi ilipopanda daraja la kwanza miaka ya tisini! Na alikuwa nahodha wa mtibwa tangu timu ikiwa daraja la tatu mpaka alipostaafu soka miaka ya mwanzoni mwa 2000 alipomwachia unahodha Meck Mexime! Wakati timu ikiwa daraja la 3 alicheza kama kiungo mkabaji lakini baadae alicheza zaidi kama beki wa kati! Jamaa alikuwa anacheza sana mpira wa kibabe!

Salum Shabani Mayanga mzaliwa wa Morogoro mjini ndiye alikuwa nahodha wa Mtibwa wakati ikichukuwa ubingwa wa bara ' back to back' mwaka 1999/2000! Anaelimu ya kutosha ya ukocha kwani alipata mafunzo ndani ya Tanzania na nje ya nchi katika nchi kama Brazil na Ujerumani! Mwanzoni alikuwa kocha wa kikosi cha Pili cha Mtibwa na kisha kocha msaidizi na baadae akawa kocha mkuu!

Baada ya Meck kustaafu alikuwa msaidizi wa Mayanga lakin walishindwa kufanya kazi pamoja kutokana na Meck kujiona anajua kuliko bosi wake! Ikabidi Mayanga aondoke na Meck akawa kocha mkuu! Mbali ya Mtibwa Mayanga aliwahi kufundisha Kagera sugar na Tanzania Prisons ya Mbeya! Na pia ndiye alikuwa kocha wa ile timu iliyoitwa taifa stars maboresho! Licha ya kwamba Mayanga amecheza na kusomea mpira ktk kiwango cha juu bado sio kocha mzuri hata kwa kumlinganisha na Meck Mexime! Ni bora atimuliwe arudi Mtibwa ambako mpaka sasa bado ni mwajiriwa wa kiwanda hicho kama Afisa ustawi wa jamii! Kimsingi Mayanga ni mtu wa mpira haswaa sijui tatizo liko wapi?

Asante sana mkuu kwa maelezo ya kushiba , Inasikitisha kuona kwamba Mayanga anapenda soka lakini SOKA HALIMPENDI .
 
Mfumo Wa wachezaji wetu kujifunza na kuelewa mambo in tatizo na hii kutokana na elimu nzima wabayoipata kwenye mashule yetu, tutapata shida sana kulaumu makocha, hatujui nini maana ya kucheza mechi ya kwanza nyumbani na umuhimu wake. Tuna tatizo kubwa la kiisaikolijia hasa kwa mechi za nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Twamo post #15 hapo juu. Wewe ndio umejaribu kutupa picha nzuri kiasi kuhusu Salum Mayanga.

Lakini kwa kuongezea katika mengi uliyosema, huyu ndio kocha mwenye 'mafanikio' zaidi katika miaka ya karibuni kwa makocha wa Taifa Stars. Amewafunika vibaya watangulizi wake Mart Nooij na Boniface Mkwasa ambao wana historia za ajabu mno

1. Mart Nooij aliweka historia kama kocha aliyeiongoza Taifa Stars kufungwa mechi zote za COSAFA na kuondoka bila kufunga hata goli la offside. Ni maarufu kwa kupigwa 3-0 kila mechi

2. Mkwasa alifedhehesha Taifa kwa kupigwa 7-0 dhidi ya Algeria kipigo ambacho hakijawahi kuikumba Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Chini yake Stars ilishindwa kufuzu AFCON na WC.
 
Mtoa mada aliulizia anaye mfaham Mayanga! Huyu jamaa amechezea Mtibwa tangu ikiwa daraja la tatu hadi ilipopanda daraja la kwanza miaka ya tisini! Na alikuwa nahodha wa mtibwa tangu timu ikiwa daraja la tatu mpaka alipostaafu soka miaka ya mwanzoni mwa 2000 alipomwachia unahodha Meck Mexime! Wakati timu ikiwa daraja la 3 alicheza kama kiungo mkabaji lakini baadae alicheza zaidi kama beki wa kati! Jamaa alikuwa anacheza sana mpira wa kibabe!

Salum Shabani Mayanga mzaliwa wa Morogoro mjini ndiye alikuwa nahodha wa Mtibwa wakati ikichukuwa ubingwa wa bara ' back to back' mwaka 1999/2000! Anaelimu ya kutosha ya ukocha kwani alipata mafunzo ndani ya Tanzania na nje ya nchi katika nchi kama Brazil na Ujerumani! Mwanzoni alikuwa kocha wa kikosi cha Pili cha Mtibwa na kisha kocha msaidizi na baadae akawa kocha mkuu!

Baada ya Meck kustaafu alikuwa msaidizi wa Mayanga lakin walishindwa kufanya kazi pamoja kutokana na Meck kujiona anajua kuliko bosi wake! Ikabidi Mayanga aondoke na Meck akawa kocha mkuu! Mbali ya Mtibwa Mayanga aliwahi kufundisha Kagera sugar na Tanzania Prisons ya Mbeya! Na pia ndiye alikuwa kocha wa ile timu iliyoitwa taifa stars maboresho! Licha ya kwamba Mayanga amecheza na kusomea mpira ktk kiwango cha juu bado sio kocha mzuri hata kwa kumlinganisha na Meck Mexime! Ni bora atimuliwe arudi Mtibwa ambako mpaka sasa bado ni mwajiriwa wa kiwanda hicho kama Afisa ustawi wa jamii! Kimsingi Mayanga ni mtu wa mpira haswaa sijui tatizo liko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Meck mexime.. Kujifanya anajua kuliko Mayanga hakika anajua kuliko Mayanga maana alipoachiwa Mtibwa imefanya vizuri kuliko ilipokuwa chini ya Mayanga... Kaenda kagera kafanya vizuri zaidi kuliko Mayanga na prisons yake....
 
Back
Top Bottom