masanzu JF-Expert Member May 6, 2013 605 216 Jun 3, 2013 #1 namhitaji mdada mzuri mwenye tabia njema umri 25-30 mwenye utayari wa kuolewa asiwe mlevi,mbea,mchawi,awe mkristo
namhitaji mdada mzuri mwenye tabia njema umri 25-30 mwenye utayari wa kuolewa asiwe mlevi,mbea,mchawi,awe mkristo
Himidini JF-Expert Member May 8, 2013 5,534 4,185 Jun 3, 2013 #2 ^^ Ha ha Huyo mchawi atajisema? Kila la kheri lakini ^^
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jun 3, 2013 #3 Ubaguzi huo wa dini...haya mimi napita
M Mokoyo JF-Expert Member Mar 2, 2010 15,145 5,553 Jun 3, 2013 #4 MadameX said: Ubaguzi huo wa dini...haya mimi napita Click to expand... sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani?
MadameX said: Ubaguzi huo wa dini...haya mimi napita Click to expand... sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani?
Ablessed JF-Expert Member Mar 19, 2013 4,616 3,499 Jun 3, 2013 #6 Himidini said: ^^ Ha ha Huyo mchawi atajisema? Kila la kheri lakini ^^ Click to expand... hahahaha kazi kweli . Sijui kama kuna mwenye tabia mbaya hapo manake cv itakua na sifa zote sasa sijui atahakiki vipi tu.
Himidini said: ^^ Ha ha Huyo mchawi atajisema? Kila la kheri lakini ^^ Click to expand... hahahaha kazi kweli . Sijui kama kuna mwenye tabia mbaya hapo manake cv itakua na sifa zote sasa sijui atahakiki vipi tu.
Kiwa JF-Expert Member Oct 4, 2011 2,102 905 Jun 3, 2013 #7 Duh! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Tayana-wog JF-Expert Member Feb 26, 2012 23,144 26,648 Jun 3, 2013 #8 Mokoyo said: sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani? Click to expand... Ha haaaa,nimecheka!
Mokoyo said: sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani? Click to expand... Ha haaaa,nimecheka!
masanzu JF-Expert Member May 6, 2013 605 216 Jun 3, 2013 Thread starter #9 Himidini said: ^^ Ha ha Huyo mchawi atajisema? Kila la kheri lakini ^^ Click to expand... lakini anajijuwa nafsi itamsuta
Himidini said: ^^ Ha ha Huyo mchawi atajisema? Kila la kheri lakini ^^ Click to expand... lakini anajijuwa nafsi itamsuta
M Mwashelii JF-Expert Member May 7, 2013 477 90 Jun 3, 2013 #10 Mokoyo said: sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani? Click to expand... Hahahahahahahahahahah......mama mbav zangu.
Mokoyo said: sidhani kama ni ubaguzi, wewe unataka alipuliwe ndani? Click to expand... Hahahahahahahahahahah......mama mbav zangu.
masanzu JF-Expert Member May 6, 2013 605 216 Jun 3, 2013 Thread starter #11 Nambe said: jielezee na wewe kidogo lol... Click to expand... ni na sifa muhimu za mwanaume wa ukweli
Nambe said: jielezee na wewe kidogo lol... Click to expand... ni na sifa muhimu za mwanaume wa ukweli
masanzu JF-Expert Member May 6, 2013 605 216 Jun 3, 2013 Thread starter #12 MadameX said: Ubaguzi huo wa dini...haya mimi napita Click to expand... naogopa kuitwa kafiri