Nijuavyo mimi hakuna mamlaka inayopnga nauli za ndege. Ila ushindani ndo hu-determine nauli. Si unakumbuka PW walikuwa wanalipisha karibu laki nne kwa safari ya DAR-MZA -DAR wakati sasa baada ya ujio wa Fly540 wameshuka hadi laki na kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.