Ninani kawaloga wabunge wa mkoa wa Ruvuma?

zilog

Member
Sep 1, 2014
53
6
wabunge wa mkoa wa ruvuma nani kawaloga hadi mnashindwa kuleta maendeleo katika mkoa wenu? Johni nchimbi wewe ni mbunge wa songea mjini ivi kuna utakachojivunia hapo badae kuwa ulipokuwa mbunge katika jimbo hili kuna lamaana ambalo milele watu lazima watalikumbuka?

Naandika haya kwasababu naona huna utofauti katika utendaji na wabunge wazee,toka 2005 unaingia madarakani umeme katika jimbo lako nijanga kubwa sana.ujanja wako wote umeshindwa kuwahakikishia wakazi wa jimbo lako kupata umeme wa uhakika. Kiukweli hakuna kero kubwa kwenye jimbo lako kama huu umeme wa jenereta.
Umeshindwa kabisa kuitengeneza barabara ya mateka ambayo wewe huko mateka ndio unanyumba yako hivi huoni haya?nandio maana wananchi wa mateka wameona nibora wachaguwe cdm katika uchaguzi huu ili kufikisha salam kwako wewe.

Nyinyi wabunge wa mkoa wa ruvuma hivi ninani kawaloga hadi mnasshindwa kuwasaidia wakulima wa tumbaku,korosho,kahawa,mahindi, kupata soko lililo na tija.mkoa weni mnauweka katika hali gani nyinyi wabunge mizigo.?

Mazao yote hayana tija kwa wakulima wenu,maana mama ana makinda aliuwa viwanda vyote vya tumbaku na kahawa pale alipokuwa mkuu wa mkoa wa ruvuma,sasa nyie mnashindwa kabisa kuleta umeme wa uhakika ili hivi viwanda vifufuliwe.?

Jenista ivi hii barabara ya songea via muhukuru hadi msumbiji umeshindwa kabisa hata kuweka changarawe?

Vita kawawa jimbo lako la namtumbo ndio hakuna kitu.wakulima wa zao la tumbaku kila kukicha kilio kikubwa ni bei chafu ya zao la tumbaku.ivi wakulima hawa unawasaidiaje ili waweze kuondokana na hali ya umasikini iliyokisili?
 
Wandendeule wenzangu wa Namtumbo hawajui upinzani ni nini! wao wanajua chama ni hicho chenye kijani tu, wakipewa vitambaa vya kichwani na khanga za kuendea shamba ndio washachanganyikiwa hawaelewi, hawasikii, Ila kwa mkoa mzima wa Ruvuma wapinzani wakitaka washinde wasimamishe mgombea mmoja hapo watakuwa wamewamaliza CCM, vinginevyo tutalalamika hadi mwisho :glasses-nerdy::yuck:
 
Aliyewaloga wabunge wenzake atakuwa ni John Komba tu maana ni pekee Mwenye sura ya uchawi
 
Back
Top Bottom