muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
- Thread starter
- #21
bado hujawa khapa nilipo nna 25yrs na bado sijawahi kwenda polisi hata kwa kushtaki tu, unataka kunambia bado sijakamilika??
Sent using Jamii Forums mobile app
bado hujawa khapa nilipo nna 25yrs na bado sijawahi kwenda polisi hata kwa kushtaki tu, unataka kunambia bado sijakamilika??
Unaweza kupitia Huko kwa sababu ga uzembe wakohivi ninani ambaye hajawahi kupitia hatua hii wewe kama nimwanaume mwenye zaidi ya miaka 25 hukupitia hapa bado hujakamilika
View attachment 998478
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kupitia Huko kwa sababu ga uzembe wako
unatudharirisha/unadharirisha maana nzima ya wick japo wewe ni wick jrsio sifa mkuu Tz hii lazima upitie huku lasivyo wewe huna madhara
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekupenda ulivyostick kwenye msimamo wako yani huyumbishwi even though upo wrong
safinimekupenda ulivyostick kwenye msimamo wako yani huyumbishwi even though upo wrong
usiku mwema bro
Jaribu kumpapasa au kumpiga kikofi Cha makalio traffic wakike akiwa kazini utapelekwa kwenye huo ukamilifu wa mleta madahapa nilipo nna 25yrs na bado sijawahi kwenda polisi hata kwa kushtaki tu, unataka kunambia bado sijakamilika??
hivi ninani ambaye hajawahi kupitia hatua hii wewe kama nimwanaume mwenye zaidi ya miaka 25 hukupitia hapa bado hujakamilika
View attachment 998478
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu naona kama ni mtazamo wa kichama flani ambao hata wanaweza kumtusi mtu ili wakamatwe! Ujinga huo upeleke huko huko kwa wendawazimu! Ni bahati mbaya sana kujikuta unapitia huko kwa sababu yoyote ile! Mwenyezi Mungu atuepushie!
Mkuu umekuwa Mtanzania mwenye asili ya kiAsia'nini!
ili kufanya stori ndefu kuwa fupi niende post moja kwa zote niulizie kama wana coca za baridi au kama kuna huduma za tigo pesaJaribu kumpapasa au kumpiga kikofi Cha makalio traffic wakike akiwa kazini utapelekwa kwenye huo ukamilifu wa mleta mada
hatar iyoJaribu kumpapasa au kumpiga kikofi Cha makalio traffic wakike akiwa kazini utapelekwa kwenye huo ukamilifu wa mleta mada
iyo kweli kabisaMkuu umekuwa Mtanzania mwenye asili ya kiAsia'nini!
Maana wahindi ndiyo huepuka jela kwa "gharama yoyote".
Lakini kama wewe ni mswahili waweza sukumwa ndani hata kwa vijisababu vya kusingiziwa ama vya kipumbafu pumbafu tu.
Kikubwa wewe omba Mungu akuepushe kunywea kikombe hicho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote ni wanaharakati ndugu