Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele agombee TFF

Mello

Senior Member
May 7, 2017
110
250
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
 
Ndombo

Member
Mar 18, 2017
79
125

Ningekua kati ya wapiga kura nisinge jiuliza ningempigia Ally Mayai Tembele
 
jijayetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
725
1,000
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
turudishieni mpira wetu...TWENDE NA DAMU CHANGA MUDA NI SASA KWA MAPINDUZI YA SOKA LETU,, HAWA WAZEE WASHATUCHOSHA
 
DhulRah

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
252
250
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
Wabongo tunakosea sana na kwa namna hii soka letu haliwez kukuwa hata sku moja. Watanzania wengi wanaamini kila aliecheza mpira bas anajua kuongoza mpira. Mpira ni industry kama zilivyo industry nyingne sio lazima kiongoz wa juu awe amecheza mpira, mfano kampun ya simu sio lazima CEO wa hyo kampuni awe telecoms Engineer, hapo tunakosea.
Mmeona Sepp Blatter, Joao Havelange, Lennart Johansen viongozi wengi sana wa ngazi za juu za vyama vya soka hawajacheza mpira hata huyu Rais wa sasa wa FIFA hajacheza mpira.
Kuwa kiongoz wa juu wa Football Association yoyote kuna hitaji vision ilikuwa nzur hasa ya masuala ya Management na business oriented za mpira sio kujua kucheza mpira, ingekuwa kucheza mpira wakina Havelange wasingeongoza fifa kwa muda mref ishu kubwa hapa Je unakipawa cha uongozi?
Simkatai Ally Mayayi jamaa anauweledi mkubwa sana wa masuala ya mpira lkn tusiishie tu kumsifia kwa kucheza kwake mpira. Nakumbuka hata Enzi za Tenga tulikuwa tunamsifia hivi hivi kwasababu tu kacheza mpira lakini baadae watanzania sisi tukaanza kumponda.
Tuangalie kiongoz mwenye malengo hasa ya kukuza soka letu atutoe hapa tulipo awe na malengo mazur na dhati kabisa ya kuongoza mpira haijalishi awe amecheza mpira au hajacheza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom