Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele agombee TFF

Tatizo kubwa ni wale waliojipangia safu zao za wapiga kura. Malinzi alianza muda mrefu sana kujihakikishia na kulinda nafasi yake. Sijui kama dogo ataweza ingawa wengi tunamsapoti
 
Kuchambua mpira (football pundits) na kuongoza mpira (football management) ni vitu tofauti.
Neville alikuwa mchambuzi mzuri sana akaenda Seville kufundisha.Kilichomkuta wengi ni mashahidi.
Mkuu ipogolo hawa watu sio kwamba hawajui au kuona mambo mazuri ya Malinzi bali ni chuki,wivu,ukabila na husda tuu kwa Malinzi. Ukiwauliza embu tupeni historia au uzoefu wa Mayay kwenye uongozi wowote ule achana na mpira hawakupi jibu wanaishia kusema ooh alikuwa mchezaji hodari na kapteni wa Yanga na Taifa Stars. Umetoa mfano mzuir Neville alipoenda Valencia kidogo tuu timu ishuke daraja kama wasingemtimua.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kwa uwezo gani alionao? Maana haendi kucheza mpira bali anaenda kuongoza je? Anauwezo gani kiuongozi?
Mayai ni msomi

Kasoma elimu dunia pia kasomea uongozi wa mpira


Haya mambo ya experience huwa siyapendi kabisa ni ujinga tu

Give him chance na utaona uwezo wake
 
Ninamuunga Mkono Ally Mayai Tembele kugombea Nafasi ya juu kabisa katika Shirikisho la Mpira Tanzania. Ni wakati sasa wa kuongozwa na mtu wa Mpira, mtu aliyecheza Mpira, Mtu anayejua Falsafa Sahihi ya Mpira wa Ndani na Nje, Mtu mwenye Uzalendo na Uchungu na Soka Letu, Lakini zaidi ya yote ni Msomi. Wajumbe msituangushe katika hili.
Tungependa kujua kidogo historia yake katika uongozi , hasa wa soka .
 
Kuchmbua mpira kwenye TV ni tofauti na kuongoza taasisi kubwa ya mpira.

Kuchambua na kuongoza ni vitu viwili tofauti.

Mayai anafaa kuchambua sio kuongoza taasisi kubwa.
 
Back
Top Bottom