Hakika ni ndege JOHN yuko ivo ivo. Hajabadirika na Bado yupo Singida.
Kumbe wewe kijana mdogo. Humu unaweza kumsalimia mjukuu wako aisee!2006 niko la tatu nahisi hata kitandani bado najikojolea
Kumbe wewe kijana mdogo. Humu unaweza kumsalimia mjukuu wako aisee!
Mwaka 2006 dada yangu alikuwa dar, na alikutana kimwili na huyo mtu, na alirudi nyumbani pasipo kujua kuwa ni mjamzito, aligundua hali hiyo akiwa teyari Yuko nyumbani,,, wakati ule mimi nilikuwa mdogo kiasi wa kuweza kuchanganua mambo, walikuwepo wakubwa zangu, hawakufanya jitihada zaidi, nyakati zile mawasiliano ya simu ilikuwa ni changamoto. Dada angu hafahamu ubini wa huyo John, anafahamu machache kama nilivyo andika hapo juiKwanini unamtafuta leo baada ya kupita miaka 20?
Uandidishi wako ni kama wa mtu mzima kabisa, ndiyo maana nikadhani wewe ni mtu mzima sana.Sure niko na 31 sasa
Kwahiyo 2006 wakati upo darasa la 3 ulikua na umri wa miaka 11 sio?Sure niko na 31 sasa
Unajielezea sana. To what end?! Nobody caresI mean niko na 30 naitafuta 31 na nilianza shule nikiwa na saba kama watoto wengi so la tatu nilikuwa na 9
Unajielezea sana. To what end?! Nobody cares
Watekaji kumbe ndio mbinu yenu mpya kutupata humu jf? hapa upati kitu mzeeHabari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006).
Naomba tuwasiliane Kwa namba 0757503034 au 0632503034
Ushauri wangu nenda kule facebook kamtafute club house amewasaidia watu wengi sana kuwapata wapendwa waoHabari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu inasemekana ana meno yaliyoungulia, na ni mweusi na mfupi (Kwa maelezo ya namna alivyoonekana mwaka 2006).
Naomba tuwasiliane Kwa namba 0757503034 au 0632503034Enda kule Facebook mtafute club house amewasaidia wengi kuwapata wapendwa wao
Nakushauri ungetembelea hayo maeneo ukutane na wakongwe....hope utapata tu details za huyo mtualikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Niko serious kaka, na ndio maana nimeweka na namba zangu za simu Kwa mawasiliano ya karibuWatekaji kumbe ndio mbinu yenu mpya kutupata humu jf? hapa upati kitu mzee
Huyo mtoto andikeni jina lenu, mnahangaika kutafuta ubin wa niniMwaka 2006 dada yangu alikuwa dar, na alikutana kimwili na huyo mtu, na alirudi nyumbani pasipo kujua kuwa ni mjamzito, aligundua hali hiyo akiwa teyari Yuko nyumbani,,, wakati ule mimi nilikuwa mdogo kiasi wa kuweza kuchanganua mambo, walikuwepo wakubwa zangu, hawakufanya jitihada zaidi, nyakati zile mawasiliano ya simu ilikuwa ni changamoto. Dada angu hafahamu ubini wa huyo John, anafahamu machache kama nilivyo andika hapo jui
Hesabu hazitally John.....Sure niko na 31 sasa