Una kubu sana dada Maria 2Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi, ijapokuwa ni haki yake lkn hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama mtetezi wa haki za waislam bali atakuwa mtetezi wa ACT wazalendo.
Kazi iliomshinda sheikh Mbukuzi mapema , sheikh Kundecha aliifanya yeye kwa miaka zaidi 40. Hivi sasa rasmi inaenda kumshinda yeye
Mbona na nyinyi Masheikh wote wa Bakwata ni makada wa ccm lakini hamjionei huruma!Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi, ijapokuwa ni haki yake lkn hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama mtetezi wa haki za waislam bali atakuwa mtetezi wa ACT wazalendo.
Kazi iliomshinda sheikh Mbukuzi mapema , sheikh Kundecha aliifanya yeye kwa miaka zaidi 40. Hivi sasa rasmi inaenda kumshinda yeye
Amewatetea watu wasiopenda haki zao zsidi ya kusubiri kualikwa kwenye futari na kutupiwa vipande vya nyama na tende, ameona bora aachane nao.Sii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi, ijapokuwa ni haki yake lkn hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama mtetezi wa haki za waislam bali atakuwa mtetezi wa ACT wazalendo.
Kazi iliomshinda sheikh Mbukuzi mapema , sheikh Kundecha aliifanya yeye kwa miaka zaidi 40. Hivi sasa rasmi inaenda kumshinda yeye
Act ni ccm b kwa hiyo hana wasiwasiSii kwa sababu kajiunga na ACT wazalendo, kinachonisikitisha kujiunga na chama cha siasa rasmi, ijapokuwa ni haki yake lkn hivi ni wazi mashambulizi ya kisiasa dhidi yake yatakuwa dhahiri kama mwanachama rasmi wa siasa.
Atafata slogan za ACT rasmi
Hana uwezo tena kujitambulisha kama mtetezi wa haki za waislam bali atakuwa mtetezi wa ACT wazalendo.
Kazi iliomshinda sheikh Mbukuzi mapema , sheikh Kundecha aliifanya yeye kwa miaka zaidi 40. Hivi sasa rasmi inaenda kumshinda yeye
Hii ndio mnaweza Sasa🤣🤣🤣😅 sio ile NO ..NOZito alishasema ni lazima Wanachama wa ACT na WAISLAM wote wakubali kufa kidogo ili kupatikana Kwa ukombozi Sahihi
Usipokuwa CHADEMA huna akili na huna haki ya kuzungumzia Demokrasia kifupi Chadema ndio hitimisho la sauti ya umma.😆Waraka wake wa jana jf imeupotezea?
Mna safari ndefu mno jivunieni nanyi CHAUMAAct ni ccm b kwa hiyo hana wasiwasi
Chadema ndo chama pekee cha upinzaniMna safari ndefu mno jivunieni nanyi CHAUMA
Chadema ndo chama pekee cha upinzani
Huna ukijuacho ila ukweli ndo huonyie majamaa ni wapumbavu sana