G
guest-1791802738
Guest
- Thread starter
-
- #101
Nampenda kwani we Hujawahi kupenda kaka....?Ana watoto 3 halafu bado anakuwekea masharti..kweli uchawi upo
Wenzako wamekojoa wamesepa wewe umechukua umeweka ndani, unajiona kidume [emoji3]
Usiniite b0nge kaka...Bonge unazingua
Kwanza na mimi nishaanza mchukia...Anakuita Bunyenye 😂😂 kuna siku huyo Dogo atakutwanga jipe muda !!!
HahahMzee wa Alkasusi
Najuta sana
Nimeliaaa nimenyamazaaa Nimekunywa Bia kupunguza mawazo Ila wapi...!! Nikisema Nilale Nipate Usingizi Hauji... Iko hivi.... mwaka Jana mwezi wa pili Nimepanga Nyumba moja maeneo ya Hapa Dar, Katika Hiyo Nyumba Mpangaji ni Mimi Peke Yangu... Nyumba Hii imejengwa Kifamilia... Ila njee ya hio...www.jamiiforums.com
Usiniite kib0nge...- umenunua kiwanja chenye mgogoro.
- umejenga nyumba kwenye hifadhi ya barabara.
- umeruka mtaro ukiwa umevaa kanzu.
Kifupi umeyakanyaga we kibonge. Hayana miba, ila utachechemea tu!
-
Nyumba ya kupanga ninunue ac?Dawa ni kununua AC tu.
Sisi tuna mapenzi ya kweli...Ila wadigo ndivyo mlivyo naomba niishie hapa kwa leo
Sijakuelewa...Naona huu ni muda wako wa kupumzika, najua unafahamu vizuri tu ukisema huyo manzi anawatoto watatu baba tofauti utashika attention za watu, give us a break 😏
Kwani matatiz0 yanaishaga...? Lile limepita maisha yanaendelea...Juz huyu jamaa alileta uz anakula mke wa mwenye nyumba wake
Akakimbia kamuachia vitu vyote
Leo kaja na chai nyingine
Lakini kikubwa ni mapenzi nampenda sana...Sasa BUNYENYE huoni kama umeingia cha kike?
Wanawake walivyo wengi mitaani tena wazuri hivi kwa umri wako wa 29 unabeba meza na viti vitatu kweli?
Matusi Hay0...Nilitaka niseme hivi hivi, umeniwahi. Hawa jamaa ni wadhaifu sana mbele ya wanawake.
😄Juzi umelala na mke wa mtu
Leo upo kwa single maza lililo kubuhu daaaaah. 💩💩💩💩💩💩💩.
We ni mshenzi kuliko mbooo yangu
nenda nae taratibu ipo siku atakuelewaMimi ni kijana wa miaka 29 kama kawaida kilo zangu hazipungui ni zile zile 96, Kibonge flani hivi, mweusi, Kitambi cha kufutia simu...(Utambulisho tu)
Naombeni ushauri jamani...Kuna mdada Nimetokea kumpenda sana sana, Nimekutana nae miezi miwili nyuma, nimejenga nae mahusiano na nishaanza process za kutaka kumuoa..(single m0ther)
Ni mnene jap0 sijui kil0 zake ila ana miaka 34,Nimemkuta ana wat0t0 wa tatu na kila mt0t0 ana baba ake ila washaachanaga Miaka hi0 na baba za0...
Mt0t0 wake wa kwanza ana miaka 11,wa pili Ana miaka 6 na wa tatu ana miaka miwili(2)
Kwasasa naishi nae pam0ja na ha0 wat0t0 wake Amba0 sasa ivi niseme ni wangu pia,Wat0t0 Wawili wananipenda na wananiita baba Ila huyu wa kwanza ambae ana umri wa miaka 11 Hanipendi ananiita B0NGE Kuna siku ashawahi niitaga BUNYENYE Nilimmaindi akaacha..
Nawahudumia w0te Kama baba Jap0 kiugumu Ila ndi0 nishapenda B0ga Basi Ua ni muhimu kulipenda...(si0 shida zangu)
Tatiz0 ni m0ja tu ambal0 limefanya nije ni0mbe USHAURI, Ni ivi Huyu mpenzi wangu Tukiwa kwenye sita kwa sita tukisex Anataka tuzime Taa kuwe na Giza t0t0r0, Pili style ni m0ja tu kif0 cha mende na tuwe tumejifunika shuka Hata kama ni j0t0 ila Shuka lazima,S0metime nat0ka kusex basi nat0ka mijash0 cuz ndani j0t0 afu bad0 mk0 ndani ya shuka s0metime Nawahi kushuka hata kama sijak0j0a mana J0t0 sana mixa Jash0 Chakufia nini khaa..
Nimejaribu sana Kumbadilisha Kuhusu Kujifunika shuka ila Hataki kabisa kuelewa na mnaweza kug0mbana kabisaaa nikianza Iz0 mada..
Ninampenda sana sitaki kump0teza
#mdig0
Teyar kaka oBonge rekebisha hiyo batani ya simu ya 'o' kwanza[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani maisha hayaendelei...?acha kutupiga kamba humu.juzituu ulituambia unaishu kwa rafiki yako baada ya kukmbia kifiro kisikukute Leo unaseme unaishi na single mama
kunakitu unatafuta humu?au mabaharia tujiongeze?
Astakafilulah..🤣🤣🤣🤣🤣Alaf yale malast born yamesoma international school lkn lenyewe lilikua la mwisho na lugha lilizokua lafundishwa halijui hata Moja🤣🤣🤣🤣.
Duh haya oAnza kubadilisha kwenye “o” weka “o” na sio kutuwekea “0”
Zer0 inay0 na o (inayo)......sorry mkuu kwani keyboard yako mbovu haina 'o' ina zero '0'.....
toa fix hapa.eboo☹️Kwani maisha hayaendelei...?