Ninampenda sana,anataka kuoa lakini hataki tuachane

kwa kipi amekaa kwenye majaribio 2 yrs ameshindwa kumwonyesha yeye ndo best zaid ya mwenziwe.....anataka apewe tna chance nyingine???be serious unataka mwenzio aje aoe akiwa mzee

Mbona wazee wanaoa sinunamwona mzee machache.anavoshaini?
 
mmmh hayo wanayaweza kizazi kipya!wakati ule bwana hata ukihisi tuu kwamba ana mtu mwingine mapemaaa unaepusha msongamano!mmmmh acha nijizeekee zangu kwa amani,watoto wa siku hizi hawashauriki kabsaa!huyo mwanaume katambua kabsaa bibie hafai kuwekwa ndani,ni kunguru huyooo,ndo maana kachagua anayejitambua ndo awe mke,kama wapenda mali zake endelea ila kama unajitambua hutakuwa poyoyo hivyo.mwanangu utakujashtuka umri ukiwa umeenda na ujue ninge.. huwa haitangulii na haibadilishi chochote.AMKA JITAMBUE
 
Mimi ni msichana ambaye nilikutana na mkaka ambaye alinipenda San na Mimi nkampenda ingawa nilikuta yupo na msichana wake ambaye wamekua wote zikunyingi.....tukiwa tunaanza uhusiano aliniambia ukweli yuko na msichana mi nkakubali Kua nae...kiukweli tumeishi hivo Kwa mda wa miaka miwili nkiwa na mke mwenzangu and I was happy with the relationship. aliwahi niambia akimuoa Huyo mwingine Mimi hatakuja niacha na atanihudumia kama mkewe.tumeendelea na hay a maisha hakuna nlikua nakosa kwake kiukweli nimeish happy life yetu.Jana kanambia ameamua kumuoa Huyo mwenzangu kiukweli nmeumia sana,maamuz nimechukua ni tuachane sitaki kua hawara,ila yeye anasisitiza tusiachane atanitunza na sitaregret kua nae.mi staki Kua na huyu mwanaume ,cmtaki kabisa ananibembeleza nsimuache eti ananpenda sn mi nimekataa.ananisumbua sana mpaka anataka aahirishe ndoa kisa mimi.embu nipeni ushauri nifanyaje wanajf,

Huyo ni msichana anahitaji ushauri wenu je amuache au aendelee nae?
hawara ni hawara tu, iwe kuna ndoa au hakuna. Sijaelewa kwa nini ikuume mwenzio kuolewa wakati jamaa aliweka kila kitu wazi toka mwanzo, ndoa si cha kukushangaza kama hukushanga kushea toka mwanzo... Wansi mchepuko always mchepuko
 
kama wanapendana na kufurahiana kwann amuache!!! aendelee tu kuwa hawara. kwanza siku hakunaga mwanaume wa peke yako.
 
acha kujidhalilisha

HAKUPENDI WEWE NI OSHEO LA KOJOLEO LAKE

UNAKUBALI KABISA NA KUJISIFU ULIKUA UNAKULA VYA WATU WAKATI ANA MPENZI

hahahh lem tel uu one thing ur not wife material ur just kiosheo cha kojoleo ANGEKUOA WEWE
 
Back
Top Bottom