Ninampenda sana,anataka kuoa lakini hataki tuachane

2 YRS UMESHINDWA KUONYESHA U ARE WORHT

ulikuwa hawara...endelea kuwa hawara

sijui akili nyingine ujue kabisa alafu uendlee kwa sababu gani??
 
angekuwa anakupenda zaidi ya mwenzako basi angekuoa wewe...

Kula tano ndugu. Unajua watu tuna differ sana, ile kusema tu ameamua kumuoa binti mwingine na sio wewe ni ishara tosha kujua kuwa huyo anayeolewa ni zaidi yako, wewe unaishi au utaishi kama spea tairi!
 
Ulikosea tangia mwanzo kukubali kushare mwanaume na mwanamke mwenzio....huyo anakutumia tu zinduka na katu hatokuthamini..anayemthamini na kumpenda ndio amemuoa...pole sana,jipange upya!
 
Bila shaka amepima kwenye mzani ameona mpinzani wako ana vigezo vya kuwa mke na wewe una vigezo vya kuwa mchepuko. Ni ukweli unaouma lakini ndio hivyo tena, na wewe tafuta mume.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hivi unaanzaje kushare ilhali unajua kabisa,utakua una moyo wa kipekee
 
angekuwa anakupenda zaidi ya mwenzako basi angekuoa wewe...

well said.....eti ananipenda sana????and still anaoa mwanamke mwingine?????wat kind of love is that????for Godsake use ur brain...huyo mwanaume either anaweza kuwa a golddigger au a user.He aint man enogh.ON TO THE NEXT ONE
 
Amechelewa maamuzi alitakiwa kuyafanya mwanzo kabla hajaanzisha mahusiano aendelee tu kuwa mchepuke
 
Mwambie akuoe wewe...kama hawezo muache kama una ubavu huo

kwa kipi amekaa kwenye majaribio 2 yrs ameshindwa kumwonyesha yeye ndo best zaid ya mwenziwe.....anataka apewe tna chance nyingine???be serious unataka mwenzio aje aoe akiwa mzee
 
Huyo m/ume anaolea nyege bado hajitambui ila we bi dada ndo hujitambui zaidi. Jamaa chongo m/mke kipofu.
 
WEWE ULISHAKUBALI KUWA KIMADA SASA UNACHOUMIA NINI HAPO?NA JIANDAE KUPATA MAWACLIANO YA "USINIPIGIE NIPO NA MKE WANGU"USITUME MSG MKE WANGU ATAZIONA"USINIPIGIE CM MIMI NDO NITAKUPIGIA!ujiandae kuumia.

are you speaking from experience????
 
Back
Top Bottom