Ninampenda, ila yuko bize na kazi sana

Ninampenda, ila yuko bize na kazi sana

Hi fellows,

Jamani nahitaji msaada wa mawazo,

Hivi karibuni baada ya kurudi Tanzania for good nimekua natafuta mke wa kutulia nae, hivi karibuni nilipata binti mmoja ambaye ndo kamaliza masomo yake ya sheria na ameshaanza kazi na according to her ananipenda na yuko tayari kuwa na mimi.

Ila tatizo namuona ni yuko so dedicated na kazi yake sana mpaka nahisi hayuko tayari kwa ndoa kwa sasa na katika pita pita zangu nikakutana na binti mwenye asili ya Asia japo kazaliwa hapa Tz ila yeye ni alishaolewa na kuachana na bwana wake na ana watoto wawili na ameshaniambia family yake hawapendi waswahili japo kasema atajitahidi kuwaelewesha na yuko tayari kwa ndoa mwezi ujao.

Nifanyeje jaman maana sitak poteza mda wa any of us.
Duuu huyo alietayar mwez ujao mbona kama analeta mashaka kidogo! Nadhan usifanye haraka kwa hilo swala kwel utaambulia garasa
 
Mkuu....
Kuoa mke mwenye mtoto sioni kama ni tatizo, lakini siku ukikua utaja jua hili ulisemalo.
Pia hapa hoja sidhani kama ni mke mwenye mtoto, sababu mtoto na mke ni vitu viwili tofauti kabisa.
Nadhani ungemshauri mletauzi asioe mke alie achika, hapo ningepata nini maana ya kile unacho kimaanisha.
mke na mtoto ni vitu viwili tofauti wacha uwongo
 
Pole sana hii nimeikuta sehemu so itakusaidia kwenye maamuzi yako
 

Attachments

  • 1452429743056.jpg
    1452429743056.jpg
    8 KB · Views: 31
Back
Top Bottom