Ninampenda, ila yuko bize na kazi sana

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Hi fellows,

Jamani nahitaji msaada wa mawazo,

Hivi karibuni baada ya kurudi Tanzania for good nimekua natafuta mke wa kutulia nae, hivi karibuni nilipata binti mmoja ambaye ndo kamaliza masomo yake ya sheria na ameshaanza kazi na according to her ananipenda na yuko tayari kuwa na mimi.

Ila tatizo namuona ni yuko so dedicated na kazi yake sana mpaka nahisi hayuko tayari kwa ndoa kwa sasa na katika pita pita zangu nikakutana na binti mwenye asili ya Asia japo kazaliwa hapa Tz ila yeye ni alishaolewa na kuachana na bwana wake na ana watoto wawili na ameshaniambia family yake hawapendi waswahili japo kasema atajitahidi kuwaelewesha na yuko tayari kwa ndoa mwezi ujao.

Nifanyeje jaman maana sitak poteza mda wa any of us.
 
Aiseeee.......
Unamlaumu mwewe, kipanga yuwesha kuku.....:confused:
 
Last edited:
Kikukweli kwa ulivyo desperate na ndoa, lazima ukwae garasa haki ya nani.

Nakushauri, utulize munkari wa kuoa kwanza. Na ujiwekee kuwa hata akipatikana mwakani ilni sawa. Kwasababu baada ya kusoma tu bandiko lako naona possibility ya kupata mke kwa sasa ni 10% the rest ni zile ndoa zinakuwa za kifahari ila baada ya mwezi mmoja mrisha achana.

All the best katika kutafta. Katika wote sijaona mke.
 
Tulia kaka ukiforce na kuwa na haraka lazima utakuja juta.Jipe muda wa kumjua huyo uliye nae na kujua kama anafaa au vipi.Kuhusu huyo Muasia jaribu kujiuliza na kujitafakari kwa kina mana tayari ana watoto.Je hao watoto wanaishi na mama yao?Baba yao anawahudumia au ukishaoa wewe ndo utahudumia na na kama ndio je upo tayari?Na cha muhimu tafakari kwa kina kwanini huyo mwanamke aliachika je yeye ndo mwenye matatizo au mumewe?
 
swala la kuoa lahitaji utulivu mkubwa na halihitaji haraka, hawakukosea waliosema kosea kujenga utaboboa ila uskosee kuoa, kuwa na utulivu na subra huku ukimwomba Mungu wako akupatie mwenza sahii, nibora uchelewe hata miaka mitatu upate mtu sahihi kuliko uwahi umpate asiyesahihi na hii itakupa mateso, majuto na malalamiko siku zote za uhai wa ndoa yako, mambo mazuri hayataki haraka punguza munkar.
 
Usioe mke mwenye mtoto mkuu....kimbia na usigeuke nyuma yaani kimbia...kimbia kabisa
Ni hatari kwa afya yako

Mkuu....
Kuoa mke mwenye mtoto sioni kama ni tatizo, lakini siku ukikua utaja jua hili ulisemalo.
Pia hapa hoja sidhani kama ni mke mwenye mtoto, sababu mtoto na mke ni vitu viwili tofauti kabisa.
Nadhani ungemshauri mletauzi asioe mke alie achika, hapo ningepata nini maana ya kile unacho kimaanisha.
 
Sio lazima uoe among hao wawili, kwani una haraka ya nini?wanawake ndio hua tunasemwa tupo desperate na ndoa sikujua kama kuna wanaume nao hua wanakua desperate
 
Na wewe tafuta kazi ili uwe busy kama yeye birds with the same feathers do fly together
 
Sio lazima uoe among hao wawili, kwani una haraka ya nini?wanawake ndio hua tunasemwa tupo desperate na ndoa sikujua kama kuna wanaume nao hua wanakua desperate
Sio lazima uoe among hao wawili, kwani una haraka ya nini?wanawake ndio hua tunasemwa tupo desperate na ndoa sikujua kama kuna wanaume nao hua wanakua desperate
well I'm not that desperate kuoa but i think it my right time for me to start my own family na kuepuka mengi ya dunia...no rush tho, thanks :)
 
swala la kuoa lahitaji utulivu mkubwa na halihitaji haraka, hawakukosea waliosema kosea kujenga utaboboa ila uskosee kuoa, kuwa na utulivu na subra huku ukimwomba Mungu wako akupatie mwenza sahii, nibora uchelewe hata miaka mitatu upate mtu sahihi kuliko uwahi umpate asiyesahihi na hii itakupa mateso, majuto na malalamiko siku zote za uhai wa ndoa yako, mambo mazuri hayataki haraka punguza munkar.
thanks that a beutiful peae of advice. Be blessed
 
Ndoa ni tamu kama utatulia na kuainisha aina ya mke ambaye mtafanya naye maisha
Wanasema kama ulitakiwa kuoa mke wa kanisan/msikitin ukaoa wa disko kwa kutofanya uchaguz sahihi nyumba yenu itageuka kuwa uwanja wa ngumi.take care chukua muda kumfikiria unayetaka kumuoa je? ndiye chaguo lako sahihi
 
Life without wife is not a nice life! But that wife can be a nice knife to cut yourself!
 
Back
Top Bottom