khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,224
- 1,547
NIFANYE NINI JAMANI USHAURI
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Huna hela, demu wako anagongwa analeta hela.
Huna hela, demu wako anagongwa analeta hela.
Ila ukitaka mpate nyingi zaidi ongea na demu wako akuunganishe kwa huyo babu pia.
Njia sahihi nikumuacha na ww kufanyakazi kwa bidii ili kuwa na kipatoHabari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na
Daaahh, ila kamwagiwa ukweli unaouma hadi kwenye mifupa.
Biriani lilikwama hawezi kujitetea tena
Hapa ngoja niwe mtazamaji tuKama umemsoma vizuri ni kwamba hana namna, anatafuta ushauri wa kumwambia amruhusu huyo dada ili wapate hela.
Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....mapenzi yetu sasa hivi ni mwaka yamefika, sikuwahi kuwa na mchezo wa kumchunguza sana, maana kila nikimuhitaji kimapenzi ananipa style zote, kipindi cha nyuma
Red light hiyo, shauri yako
wanawake wana siri nzito sana. inshort... atakuua
Hapa ngoja niwe mtazamaji tu
cha kufanya usimwache cheza kwa akili mpaka saikolojia yako itakapo kaa sawa
Ng'ombe hazeeki maini.ni bora kuachana nae tu
90%+ babu atakuwa kashaungua, haoni tatizo kujipoza na pesa zake alizonazo.Mimi nimemshauri wa-team up kumpa babu utamu, hela watapata nyingi zaidi.
Ana uzoefu wa kutosha sana kazini, ndio maana amemkonga moyo jamaa pamoja na huyo Babu aliyemtakia usiku mwema.Zingatia sana ushauri wa bamdogo
kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri tu na ni mzigua kutoka tanga, huyu binti kiukweli ni balaa anayajua mapenzi haswa yaan ni level nyingine cjawahi kukutana na msichana anayejua mapenzi na mapishi kama huyu binti.....