ninampenda anayenipenda tu..........

Safi sana hapo ni kweli kabisa :poa

yeah ukitafakari sana mazungumzo na matendo yao utawajua 2 ni nini wanalenga..........baada ya hapo unafanya chaguo lako moja bila ya zengwe ukijua kuna vilio vitajitokeza...................life is not simple.......furaha ya mmoja ni kilio cha wengineo.......
 
Chezeiya mapenzi Rutashubanyuma moyo ukifunguka unazuia lakini wapi...Sasa sijui kosa ni la moyo au wewe mwenyewe...lol

tatizo ni wewe mwenyewe kuruhusu tamaa zako kukutawala na ukasingizia moyo................jenga nidhamu ya kila kitu mengineyo hayana shida..........
 
ahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaa_adopt my love style...you will enjoy.....wewe tamani tu wala ucpende.
Yani we wacha tu hiyo ya kutamani ndo kawaida yangu natamania sana totoz haswa zile fig 8....lakini kuna madhara yake.

Kuna siku nilikuwa na wife kwenye shoppping mall, nikaona kasichana kazuri basi nikawa na katazama, kumbe wife kaniona, alinipiga boom sitasahau maisha yangu...Wife alisema; kama bado unatamni wengine, yanini ulinioa...yani pale nilihisi dhambi kweli kweli sitasahau.
 
yeah ukitafakari sana mazungumzo na matendo yao utawajua 2 ni nini wanalenga..........baada ya hapo unafanya chaguo lako moja bila ya zengwe ukijua kuna vilio vitajitokeza...................life is not simple.......furaha ya mmoja ni kilio cha wengineo.......
Hapo ni green kabisa :A S shade:
 
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine hapana...............sitaki kuachiwa maumivu.............lol

na wewe unapenda anayekupenda au acha tu uumie kufurahisha macho yako kwa kudai uzuri wake ndiyo umekuponza..................................au twafanana........kwa maana ya kuwa......hauko tayari kuteseka kwa lionalo jicho lako na kuvutwa na huku moyo wake wajua hampo naye pamoja....mwenzio bado anaangazaangaza kwingineko lakini siyo kwako.....nipe khabari.................jianike hapa

Hapo kwenye violet; wewe unasubiri upendwe ili upende? Utaulazimishaje moyo wako kumpenda mtu just because kakupenda? Na suppose ukipendwa na watatu?

Kingine, utajuaje kama mwenzako anakupenda??? (kuna mtu aliuliza hilo swali kwenye chit chat), what if ulichotafsiri upendo ni just admirations; au kukutamani au kutaka/penda ulicho nacho??? Huoni hapo utaumia zaidi. Na maybe, ulijifunza kumpenda huyo mtu kwa kujua anakupenda kumbe kulikuwa na attraction nyingine tofauti. Mimi nafikiri it is worth kupenda for the sake of it, na ikitokea mwisho ukatendwa; ndio sehemu ya maisha!
 
Yani we wacha tu hiyo ya kutamani ndo kawaida yangu natamania sana totoz haswa zile fig 8....lakini kuna madhara yake.

Kuna siku nilikuwa na wife kwenye shoppping mall, nikaona kasichana kazuri basi nikawa na katazama, kumbe wife kaniona, alinipiga boom sitasahau maisha yangu...Wife alisema; kama bado unatamni wengine, yanini ulinioa...yani pale nilihisi dhambi kweli kweli sitasahau.

fazaa huna mipaka ya kutamani?
 
Hapo kwenye violet; wewe unasubiri upendwe ili upende? Utaulazimishaje moyo wako kumpenda mtu just because kakupenda? Na suppose ukipendwa na watatu?

Kingine, utajuaje kama mwenzako anakupenda??? (kuna mtu aliuliza hilo swali kwenye chit chat), what if ulichotafsiri upendo ni just admirations; au kukutamani au kutaka/penda ulicho nacho??? Huoni hapo utaumia zaidi. Na maybe, ulijifunza kumpenda huyo mtu kwa kujua anakupenda kumbe kulikuwa na attraction nyingine tofauti. Mimi nafikiri it is worth kupenda for the sake of it, na ikitokea mwisho ukatendwa; ndio sehemu ya maisha!

na kinyume chake pia ni sehemu ya maisha.............anayenipenda nikimtupioa jicho tu najua kuwa huyu......she is mine...........huwa sikosei.........labda utaiita ni sixth sense.................
 
Hapo ni green kabisa
A%20S%20shade.gif

fazaa lakini usifurahie kuwaachia maumivu wenzio...........
 
fazaa lakini usifurahie kuwaachia maumivu wenzio...........
It's a cycle, my friend...Si unajua dunia inazunguka lazima watachukia tu, wao wameisha zowea kupenda, wewe ukipenda mmoja tu wao hawapendi vile...Si unajua kale kamsemo kao kanasema men always complain about women complaining, lazima watalalamika tu na kusema, kwanini unapenda sehemu moja tu...Si ajabu umerogwa :A S shade:
 
It's a cycle, my friend...Si unajua dunia inazunguka lazima watachukia tu, wao wameisha zowea kupenda, wewe ukipenda mmoja tu wao hawapendi vile...Si unajua kale kamsemo kao kanasema men always complain about women complaining, lazima watalalamika tu na kusema, kwanini unapenda sehemu moja tu...Si ajabu umerogwa
A%20S%20shade.gif

ni kweli fazaa...............mara nyingi ni vigumu kumridhisha mwanadamu.............kwa hiyo ni vyema ukajiridhisha mwenyewe............
 
Ni kweli ni heri kumpenda anayekupenda. Usimlaumu pia asiekupenda maana huenda wewe si chaguo lake. Kuna ambaye yeye anampenda. Unaweza ukamsii kwa kum'badilisha mawazo ila ujue hamtadumu kwakuwa hauko moyoni mwake. MPENDE AKUPENDAE, " ASIYEKUPENDA ACHANA NAYE "
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom