KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,314 Aug 17, 2010 #1 Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili niitundike kwenye fremu ya duka langu.
Kutokana na fashion iliyozuka hivi karibuni, nami nawasiliana na wapambe wangu ili angalau na mimi nichukue form ya kugombea uraisi wa nchi hii, kwa nia ya kuweka historia na kupata form hiyo, ili niitundike kwenye fremu ya duka langu.