ninammic sana mpenzi wangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ninammic sana mpenzi wangu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pretty-baby, Jan 27, 2012.

 1. Pretty-baby

  Pretty-baby Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habarini wana jf,mwenzenu ninammisi sana mpenzi wangu kwasababu yuko mbali, naomba ushauri kwa wenye uzoefu wa kukaa mbali na wapenzi wao hadi wakazoea nifanyaje,ili niweze kuzoea hii hali?naombeni ushauri wakuu!
   
 2. K

  Kuchayaa Senior Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kummis imemmis wewe sasa sisi tufanyaje?kama vipi piga punyeto.
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama ni mme wako basi fanya subra.

  Kama ni bf basi bora mana mtapunguza kudanganyana.
   
 4. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama wewe ni ke, check PM nina tiba moja murua sana itakayokufaa.
   
 5. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yuko mbali kikazi au..na ana muda gani tokea aende huko mbali..
   
 6. Pretty-baby

  Pretty-baby Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  miezi mitatu lakini naona kama mwaka
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umecheck PM???
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  NI mume/mke au hawara yako?
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  chukuaa pichaa yake uwee unaiangaliaa kilaa mara,au jaribu kuwasiliana nae mara kwa mara ukimkumbukaa kwenye cm.
   
 10. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nisha kusoma ww ni cheche tu, coz km unaomba ushauri hapa wat if mtu akakwambia tafuta replacement si dat mins ndio unampotezea huyo mwandani wako, hw long utaendelea kufanya hivyo coz kutokana na maisha yalivyo hakuna kipindi ambacho utakaa karibu forever na umpendae so try to cope wth the environment pls na sahau mapenzi ya njiwa, dis is hw we du
   
 11. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole sana. Ushauri wangu...please to keep yourself busy...!
   
 12. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  umenisemea
   
 13. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  miezi mitatu sio mingi,if u love him/her msubiri na umtunzie heshima yake kuluko kutangatanga utaibuka na magonjwa
   
 14. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  tafuta mwingine wa kupoozea fasta - akirudi endelezeni libeneke
   
 15. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Acha kujilegeza wewe, miezi mitatu tu unaanza kulalama, wengine hapa tuna miezi 6 hatujawaona wapenzi na bado itatuchukua kama mwaka hivi kuwaona na bado tunajipa moyo wa kusonga mbele, Jikaze kiume
   
 16. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #16
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  aah Mrembo, mshauri mwenzio ajikaze 'kike' bwana ndo itapendeza
   
 17. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #17
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hahahaha, wanawake wanajulikana kwa kujiendekeza ndo maana nimemwambia ajikaze kiume
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  na mie ni mpweke sana, wewe mwenzangu jinsia ipi?
   
 19. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,804
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Hahaha....mtafuteni Smile atawapa ufumbuzi maana yeye ni Moulivyo katika hizo difficulties!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Daz it mata? Wewe si uko fleksibo.
   
Loading...