M mwasumwenye Member Joined Jul 11, 2015 Posts 23 Reaction score 1 Aug 6, 2015 #41 Wachovuuu haya yangu macho
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,922 Reaction score 8,525 Aug 6, 2015 #42 Nina kadi moja tu ya CHADEMA niliyoikata mwaka 2010, lakini kura yangu kwa Lowasa ni X.
Jumanne Mkota JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,011 Reaction score 1,794 Aug 6, 2015 #43 Mkuu hamna mwanachama hapo kuna kahaba la kisiasa Matola said: Siku ukitaka kurudi unalipia ada tu? Watanzania bana chafya kweli. Ni ukumbusho gani kwenye hiyo kadi ya kishetani unaoutaka? Click to expand...
Mkuu hamna mwanachama hapo kuna kahaba la kisiasa Matola said: Siku ukitaka kurudi unalipia ada tu? Watanzania bana chafya kweli. Ni ukumbusho gani kwenye hiyo kadi ya kishetani unaoutaka? Click to expand...
mudchitwanga Member Joined Jul 28, 2015 Posts 92 Reaction score 20 Aug 6, 2015 #44 Mi nina kisu tu nasubiri october mungu akinifikisha....nichinje jogoooooo.......
F fm radio Member Joined Jul 19, 2015 Posts 81 Reaction score 36 Aug 7, 2015 Thread starter #45 Renegade said: Nina kadi moja tu ya CHADEMA niliyoikata mwaka 2010, lakini kura yangu kwa Lowasa ni X. Click to expand... unayomiliki sio unaowafutilia bali mtu ndo anafuatiliwa
Renegade said: Nina kadi moja tu ya CHADEMA niliyoikata mwaka 2010, lakini kura yangu kwa Lowasa ni X. Click to expand... unayomiliki sio unaowafutilia bali mtu ndo anafuatiliwa
F fm radio Member Joined Jul 19, 2015 Posts 81 Reaction score 36 Aug 7, 2015 Thread starter #46 MTENGETI said: Mkuu hamna mwanachama hapo kuna kahaba la kisiasa Click to expand... punguza mapovu