Ninalia lakini sijui kinachoniliza

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
jamani mimi nashangaa ninalia ila sijui nini hasa kinanifanya nilie
 
Ovyoo,Njo nikupakate,Mx

​Hhahaha kiswahili ni tofauti na vile unavyo kifahamu hahahaha
 
Pengine kuna kitu kinachokusumbua/kuumiza japo hujataka/amua kukiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…