Ninakuthamini hadharani na moyoni

Hakuna kitu kitamu kama hisia za mapenzi ni wakati wake jiachie mwayego
 
Reactions: BAK
Haya Maneno bhna huwa yanaraha yake mwanzoni mwa mahaba unaweza kuta unaota mambo yahalibike shetan aibe cement ya kujengea mahusiano yenu ukisikia hata mistr kwenye wimbo wametamka haya maneno unaweza lia
 
... Unilinde na mimi nikulinde hadi kufa... [emoji178][emoji178]
Kuna jamaa kaja hapa jamvini, akasema kwajinsi alivyo umizwa.... Sasa ameamua kwamba hamuachii tena Mungu, na tayari anazo pichu/kaptula ndogo za aliye muacha anazipeleka kwa fundi
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watahofia kuacha picchu zao lakini mambo ya kishirikina hayahusu kitu.

Kuna jamaa kaja hapa jamvini, akasema kwajinsi alivyo umizwa.... Sasa ameamua kwamba hamuachii tena Mungu, na tayari anazo pichu/kaptula ndogo za aliye muacha anazipeleka kwa fundi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watahofia kuacha picchu zao lakini mambo ya kishirikina hayahusu kitu.
.......[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…