UKAWA walipotoka bungeni mwezi April ulituambia wanahongwa na Ujeruman, tukanyamaza kimya kwa sababu tuliwaelewa vyema akina Mbowe na wenzie, baadae Said Kubenea alipo fungua shauri mahakamani kutaka tafsiri ya kisheria ukatuambia tena kuwa Kubenea amehongwa na UKAWA pia tulinyamaza kwa sababu tunamuelewa sana Kubenea , Mh leo tumesomewa waraka makanisani kwetu juu ya bunge lako ,ninachokisubiri ni kujua kama viongozi wa dini yetu nao wamehongwa!!!!!!!!!!